Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Ulikua unampa za USO nnn??
Nilimpa ukweli wake.... maana that day alizidi hadi kero
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikua unampa za USO nnn??
Pole sanaa Wacha weeee sasa hiv hii ni style mpyaa tunashinda humuuuu hahhhhhahhha tunasogoaaa weeeee na hatuchokii
Wee nae Kwa kuiga unafikiri Ni rahisi kihivo eeee
Afadhali mimi nimeiga wewe una nini empty headed mfinyuuuuuuuuuuuuuuu
hahaa mie niko nyuma yenu nimeshikilia kibendera tu....ukiona sipo we nimention
Nilimpa ukweli wake.... maana that day alizidi hadi kero
Ana nini huyo kavurugiwa wapi anakuja malizia hasira humu hivi ni He/she? Hebu tuendelezee yetu naona wameanza kuingiaa wapambeeee hahhhha
hahahaaaaaaaaaa watu wanagombania zile LV kule
Ikitoka akaja kufulia yule wale wale wanaomsifu hata akinya wataanza kumsemaHahahhhha eti mpaka kabilaa wanagombeaa kua Sinta anajifananisha kabila nae (upare)yaan hapo ndio nikaona kichwan kwa kimavi kumejaaa funza
Bora angekua Mhaya tusingesema maana mishauo kawaida yao wapare na mishauo plus majigambo wameitoaaa wapiii
Na kusifia hata visivyostahili.
Basi wakimsifiaaa kichwaa kinajaa na kulipuka kama bomu la Nyukliaaa hao hao ipo siku watamgeuka chezeaa wabongo na utakuta wanamsifiaa huko kwenye blog yake wakitoka wanamponda kwenye blog nyinginee
Watanzania sisi wanafiki sana tunajua kucheza na akili za mtu leo unamsifia si anataka sifa kesho unamponda akifulia. Lol
Afadhali mimi nimeiga wewe una nini empty headed mfinyuuuuuuuuuuuuuuu
Ulicheza na sharubu za simba eeh
Usijali ntafanya hivyoooo
tena nilizichezea kwenye himaya yake.........