Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

Wanaume tumebaki wachachee ukitaka maisha mazuri bila kazi lazma upakuliwe, waje huku kwe2 mabasha wako tele tena watarudi na brevis au nyumba., ndio mana huyo petit lady kalegea hata cku ya ugomvi gpl alikua mbali

Huko kwenu wapi?? bora waje huko...
 
Wakuje tu mana wameanza kina lulu, uwoya, aunt, kajala, wema wanadai hku hela hawakabi sana wanazipata
 
Hapo sasa kawekeza kushona kwenye cherehaniii kushonesha nguo za vitenge anaziuzia huku bongo

Pole zake kma hajawekeza hata kibanda c bora abaki hukohuko mana akija huku wenzie wanakimbiza balaaa, mana kulamba uzi ni kazi ngumu halafu mgongo utapinda mapema kama dreva wa daladala.
Mana cherehani hudumaza mda wote umejipinda kma dreva wa bodaboda
 
Marekani ishamchanganyaaa akilii alikuaga anaiotaa
sidhani Kama nimara yake ya kwanza kwenda.alishapelekwa Huko na baba yake 2000 kusoma lakini hakusoma alikua anamimba ameenda nayo kwaiyo ikabidi arudi tz baada ya kujifungua
 
Pole zake kma hajawekeza hata kibanda c bora abaki hukohuko mana akija huku wenzie wanakimbiza balaaa, mana kulamba uzi ni kazi ngumu halafu mgongo utapinda mapema kama dreva wa daladala.
Mana cherehani hudumaza mda wote umejipinda kma dreva wa bodaboda

Hashoni yeyee ana washonajiii muke ya muzungu tena ashonee
 
Kama hivyo ameajiri wa2 yuko poa kiuchumi mana nchi za wa2 kumpa m2 kazi c mchezo, 2mezoea fareast unamtuma mchina au mthailand kwa hela kiduchu

Yuko poaa lakinii hebu ingiaa kwenye blog yake U Turn utanipa majibuu
 
Marekani ishamchanganyaaa akilii alikuaga anaiotaa
Mange hajafika marekani kwa sababu ya ndoa,Bhoke kazaliwa marekani,hivyo basi marekani kwa mange is nothin at all.Mange unaua watu huku kwa wivu
 
Mange hajafika marekani kwa sababu ya ndoa,Bhoke kazaliwa marekani,hivyo basi marekani kwa mange is nothin at all.Mange unaua watu huku kwa wivu

Wivu nimuonee kuishi Marekani au kuuza nguo?au kwa kuolewa na huyo mzungu mwambie abadilikee aache kumsimanga Sintah kwani ana ninii hasaa huko alipo angekua anaishi kama kina Kim k ingekuajee au tusiende mbalii K lyn huyo hapoo na bwana machache kuna kitu anawazidii huyo mmewe ana ninii zaidi ya Kuwa mzungu
 
Nimeona huko hakunifai mana naona tu maneno cjui sinta mara nenda gym mikono minene, hko hakunifai mimi
 
Huko hapanifai hapahapa kwa warumi natoa stress zangu.mana mwez ujao ntaenda kuangalia ki2 y ney mwz c pale jirani na kcb bank au
 
Back
Top Bottom