Mwenyewe nakushangaa INA huuuu kwani?
Daah asokujua kila anachosikia nae anaamini anaenda kuadisia..mimi binafsi namjua mboni nimesoma nae o level she is 34 now amezaliwa 1980 nahayo mambo ya matiti labda limeharibika now enzi namjua hakua na kilema chochote cha maziwa na huwa anavaa ngua hata bila braa .hayo mwengineyo ya kina chifu kiumbe siyajua sbb hatuko karibu kama zamani tukikutana ni stori kidogo kila mtu anachukua ustaarabu wake
Kumbe ni haka aisee ni kazuri sana.
Mboni ana nini kwan kuhusu hayo manyonyo yakei!!!!!!!!!!!
Mwenzangu yule hutakiwi kugombana naye ukigombana naye uwe umejipanga maana atatafuta data zako zote aziweke kwenye blog yake
Kuna mdau alisema yapo kama ndala.
Mwingine akasema analo moja lingine ni la bandia.
kuna mmoja aligombana nae akaenda kufukunyuaanakojua yeye hadi benki anayokopa na kuanza kumnanga eti
anaishi mjini kwa mkopo
hahahaaaaaaaaa umenichekeshaje
mie aliniblock akanambia uwaziri haunifai.........Hahahaaa... mjini mtu akikuamulia anaweza pasta details hadi za utumbo wako ulivyokaa tumboni. Poor her!
Kimepona my dia..... almanusura nifumue hizo nywele
team wambea mpo
mie aliniblock akanambia uwaziri haunifai.........
Hahahaaa... mjini mtu akikuamulia anaweza pasta details hadi za utumbo wako ulivyokaa tumboni.
Poor her!
Pole sanaa Wacha weeee sasa hiv hii ni style mpyaa tunashinda humuuuu hahhhhhahhha tunasogoaaa weeeee na hatuchokii
mie aliniblock akanambia uwaziri haunifai.........
kuna mmoja aligombana nae akaenda kufukunyuaanakojua yeye hadi benki anayokopa na kuanza kumnanga eti
anaishi mjini kwa mkopo
Umbea full time no kuchoka
Huyo ni Sintaa pia alipewa umbeaa na hao wajinga wenzie maana Sinta alikopa pesa ili kuendeleza duka la nguo za harusii
Ungemsifiaa angekuletea vile vinguo alivyokua akivivaa wakatii wa ujauzito vinguo vyenyewe vidaso daso tu eti kisa kimetoka mamtoni lol si bora unajinunua hata ya 10000 kuliko kuvaa jasho la mtu
hahahaaaaaaaaaa watu wanagombania zile LV kule