Odama huvumi lakini umo

Hahhhhahhhhahhha anajiita nyasamaki hebu mwangaliee kala .. niniii heloooo

Huyo mjita au mkerewe nini leo kavimbewa na furu obama, ila inaonekana visa yke imeisha hpo alipo hajielewi kurudi hku bila chapaa noumer., msameheni bure
 
Hahahahaaaa...loh mbona anachekesha. Mbona wwngine wanajadiliwa kila mara wao sio watu??

Wameamua kuanika maisha yao tutawajadili tu as long as hatuvunji sheria za nchi na za Jf

atupishe sie......... anataka kujadiliwa kwa mazuri mbona ye kutwa kuwajadili wenzie

keshakula ban arest in peace vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…