Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mode wamefuta zile post za yule mdada mwenye stress nini
Damwani hebu mtafute yupo salamaa au namtafuta simuonii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mode wamefuta zile post za yule mdada mwenye stress nini
Hahahaaa... binaaamuuuu... umetishaaaa
Hello my dear... post zipi hizo na za nani!
hata jina sijamkariri hata ID yake anaporomosha matusi ka hana akili
Damwani hebu mtafute yupo salamaa au namtafuta simuonii
hata jina sijamkariri hata ID yake anaporomosha matusi ka hana akili
Hello my dear... post zipi hizo na za nani!
Ulikua wapi leo yameporomoshwaa hapaa weeee
Kuna mtu alikuja humu sijui kaishia wapi na post zake zimefutwa
Inabidi uwe mpoleHahahaaa...kwa foleni sio
Mange anajadiliwa kwanini!!!!!!!!!1Uuuups...matusi tena! Why...
aende mwanakwenda na afike anapokwendaLabda kaenda kusalimiaaa kuleeeee
Inabidi uwe mpole
Nimesahau jina ila kwani kusemwa m2 ni kosa anasemwa prezda sembuse yeye ***** zke itakua amepitiliza cku zke huyo
Mange anajadiliwa kwanini!!!!!!!!!1
aende mwanakwenda na afike anapokwenda
Ulikua wapi leo yameporomoshwaa hapaa weeee
Mange anajadiliwa kwanini!!!!!!!!!1
Hahhhhahhhhahhha anajiita nyasamaki hebu mwangaliee kala .. niniii heloooo
Hahahahaaaa...loh mbona anachekesha. Mbona wwngine wanajadiliwa kila mara wao sio watu??
Wameamua kuanika maisha yao tutawajadili tu as long as hatuvunji sheria za nchi na za Jf