Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

Jiandae utanikuta pale kona ya siku zote yaani hatachepuka na atakupa mapesa kibao!

Dawa haziaminikii shogaa unaweza pewa sumu ukamwekeaa halaf ukakosaaa umotooo si unajua umoto unatofautiaanaa shougerrrrr
 
Dawa haziaminikii shogaa unaweza pewa sumu ukamwekeaa halaf ukakosaaa umotooo si unajua umoto unatofautiaanaa shougerrrrr

Hiyo ni ajali kazini ka ajali zingne tu shosti usiogope
Hahahahaaaa
 
Me jaman nampenda Mange,watu hawamuelewi tu,siyo kwamb huwa anajisifu,blog yake ni Mange's reality blog......maneno mengine yanaletwa na hao team Mange
 
Nlilala nimeamka bundi...mzungu yupo km likondoo pale. Chezeya mambo ya chanika wewe..oohh bongolishaz hakuna kitu ni kirecharge... kwa roho ile lazima ulozi haukosekani

heeeee mambo ya chanika bundi .. Dinazarde my wii nimepitwa uuwii kisa umeme napatwa wazimu uwiiiii na ukuje huku
 
Last edited by a moderator:
Huyo mange ana nini asijadiliwe? US ameanza kuishi yeye? HM ameanza kuzivaa yeye na kenzo?? Akimjadili sintah kwa kumshusha ajue na yeye hawezi kuwa salama.... angekuwa japo mzuri basi tusingepumua mjini hapa!! Na nyie vibaraka wake mnaosubiri nguo za msada mjipange hasa mnapokuja kumtetea nanake watu wako full...jimama zima lina act km teenager

umenenaaaaaa

hiyo team yake...cijui ndo mafansi....vibaraka wanajiona wanaongeA vya uongo na macho juu kama Antena za AZAM Tv
 
Me jaman nampenda Mange,watu hawamuelewi tu,siyo kwamb huwa anajisifu,blog yake ni Mange's reality blog......maneno mengine yanaletwa na hao team Mange

Hata sie hatumchukii ila kumsimanga Sintaa sio poaa kwan mbona hata Sinta anaishi vizuriii ndio hivyoo ukijiachia mitandaon lazimaa usemwee kama yeye anavyowasema wenziee
 
Back
Top Bottom