Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

Anonymous April 8, 2013 at
3:28 PM
anajifanya mjanja yule Mange
halafu eti leo anatangaza kazi ya
mumewe inawapeleka state
ingine, limekuwa BENDERA
FUATA UPEPO, Karne hii
wanawake wajanja wote hakuna
anayehamishwahamishwa hovyo
na mume. Hiyo ni dalili ya
kutokuwa na kazi ya kueleweka
na kutokuwa na msimamo,
wewe kweli business yako kama
imekolea na duka
limechachamaa, utahama
hovyohovyo na upesiupesi
namna hiyo? sio kwamba
sikuhizi wanaume wanaenda
wenyewe then mnakuwa
mnatembeleana weeee, hadi
mtu uweze kuweka mambo sawa
ya business yako au utafute kazi
huko kwingine, then
ushughulikie mambo ya watoto
ya shule n.k yeye mara ooh
nafungua duka, mara ooh
naenda bongo wala hasemi
dukani anamuacha nani, kumbe
duka tunasikia limejamba siku
nyingi na mume alikuwa ana
mkataba wa mwaka 1 haya
umejamba hajaongezewa inabidi
wahame, na bado MTAHAMIA
HADI TIMBUKTU MKITOKA
HUKO MTAENDA HADI SAYARI
YA PLUTO.KAMA SIO KUROGWA
HUKO NI NINI? CHEZEYA WATU
NA MAHASIRA NA IMANI ZAO?
LAANA ZA MIDOMO YA WATU
NDIO MAANA WANAHANGAIKA
NA FAMILIA KILA
KUKICHA,SHUGHULI ZA
KUELEWEKA HAKUNA, KAZI
KUHAMA UTADHANIA WALE
WAFUGAJI WA NG'OMBE.
 
Ila Mange si alikuwepo humu zamani na alikuwa ana tumia jina lake na alikuwaga busy anajisifia kwenye jukwaa au sijui alikuwa feki ila nakumbuka mwaka juzi kama sikosei nilikuwa naona vi post vyake humu celeb forum....
 
Atakuwemo tu humuu yule kila sehemu yumooo,umeusoma huo mchambo hapo juuu
 
Hehehehehehe eti tumemuundia kikundi hahaha Kumbe yanawafika eeehhh

Hahhhhha analoo kama uchangushume anao yeye na hizo teammavi zakee,lazima msumari uchome kote koteeee,lindaa miaka mingi lakini mrembo haswaaa lakini kenyewee kamekomaaa utafikiriii hua kanalima magimbii,nimeamini vimkomao hua vina matatizo sanaaa
 
Wanaloooo yamewafika he eee

Wahahe tuuu sis tunapeta

Wanavyosema ya watu wanafikirii wao malaikaaa wahamie mbingunii lasivyo watabakia style ya popo kanyea mbingu ,blog yenyewe ya kipimbii tu angekua anamilikii Jf ingekuwajee,awakalie kichwani hao misukulee,
 
Hahhhhha analoo kama uchangushume anao yeye na hizo teammavi zakee,lazima msumari uchome kote koteeee,lindaa miaka mingi lakini mrembo haswaaa lakini kenyewee kamekomaaa utafikiriii hua kanalima magimbii,nimeamini vimkomao hua vina matatizo sanaaa

Atanenepea wapi roho ya kasksi imening'inia kama boriti.....
Kucha kusema wenzie na bado bongo atarud.....heeee
 
Chambo limetulia bandera fuata upepo
..hat kama humu yupo hatumuogopi

Eti anamsema Sinta mlala hoi yeye si mlalwa mbwa mbona hatujasemaaa,angekus ana pesa angezurula na nguo za vitengee,basi afungue kampuni US au hata Duka tuoneeeeee,Sinta kafunguaa atuonyeshe yeye liko wapiii!!!!!??ana tofauti ganii na machingaa wanauza barabaranii heroooooo hapa hatusomekiii mpaka kielewekeeeeee,
 
Atanenepea wapi roho ya kasksi imening'inia kama boriti.....
Kucha kusema wenzie na bado bongo atarud.....heeee

Hahhhhhahha ukishazoea kwenda kwa wagangaa lazima uwe mchawiiii tu,atanenepa kila kukichaa kujifukiza dawaa? Mtu gani kila mtu anakosana naee kama sio uchawiii huoo, kina Mwamvitaa wamemtenga wameona watarogwaa
 
izo dawa lazima unajifukiza nae duuh uliyajuaje yote hayo
 
Hahhhhhahha ukishazoea kwenda kwa wagangaa lazima uwe mchawiiii tu,atanenepa kila kukichaa kujifukiza dawaa? Mtu gani kila mtu anakosana naee kama sio uchawiii huoo, kina Mwamvitaa wamemtenga wameona watarogwaa

Anahis yeye ndo mwama wenziwe ndo nuksi

Uchawi unafanya utengwe tuuu
Hana lolote mbona wenziwe wanaishi vizuri tuu na watu??
maisha ya uchawi hayana formular ajue hilo
 
Team zakee ndio wanayoyatoboaa anayoyafanyaaa,kama hujui chochote waweza pitaa kama ulivyoingiaaa
aaaaahaaaaaa kazi kweli mchawi lazima amjue mchawi mwenzio bs walikua wakiwanga wote....kumbuka jamii forum ni yakila mtu haina mwenyewe so usi hamaki dada
 
Back
Top Bottom