kajojo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 2,946
- 5,470
Anakurusha wewe na bwana wako
Kazi kuwaza mabwana tu embu ntolee ujinga wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakurusha wewe na bwana wako
Maisha gani aliyonayo wenye maisha wakiitwa hata pua hasogezii mwambie atulize mshonoo,ushamba apunguzee,maisha ya picha za 360 heeeeeeee nyie ndio mtaota mnaolima magimbi kwenye lamii
Si hawajawahi kuona wote wa misukule yake walikuja town na fuso ya Mahindi
Kazi kuwaza mabwana tu embu ntolee ujinga wako.
Alaf Hawa misukule yake wanakuja kwa kubip unaona washakimbia
Hahhhhhahhha JF balaa si unaona wanavyoingia kwa adabuu hahhhhahhha karibuni sanaaa
We Ndo ututolee ujinga kisa mgawo wa chupi
Nimeongelea swala la chupi hapa
Anyway naona hujielewi sijibishani na watu kama wewe. So endelea kupost ----- wako
Heshima imekamata mkondo wake...amkimbize nani??? Ana nini?? Pesa gani?? Hii ya mboga
Heeeee aweke chini financial status per year,profit n loss tucompare na matajir ambao ni top over the world tuone
We Ndo ututolee ujinga kisa mgawo wa chupi
Hahhhha anadhan yupo US pekee yake watu wapo wametuliaa tulii ma bata wanakula kama hawana akilii,ushamba sijui wa wapiii yaan Mungu hakupi vyoteee manenahaaa
Kwendraaaaaaaaa najua unatetea mgawo ili usisahaulike...tena usigeuke nyumba. We Ndo hujitambui kutwa kushabikia mwanamke asiyejitambua mjini...kila kitu Ndio bibi Kama msukule
Heeeeeee ana damu ya aina gani huyu shost kwenye Uzi wa rihanna anabisha uuuuuuwi
Kila mtu akiposti Marsha yake hapatakalika dunia hii
Aaaaahaaaaa eti koku we kweli ujielewi im a gemstone dealer eti ni subirie nguo za mgao aaaahaaaaaa yani leo nimecheka sana sasa sijui wewe mwenzangu unashughuli gani hapa mjini...hata sijui kama unaelewa maana yake...usivamie watu kwenye mitandao usio wajua unajitia aibuHivi we we Koku kwenye ule mgawo utapata chupi au Kile kikopo alichokuwa anatemea mate Wakati wa ujauzito? Hahahahahah aha naona unatetea mgawo wa malapu lapu aisee mtumikie kafiri upate japo kinyolea vu......z.....i
Mainda alikua enzi zile ziku hizi mkorogo vibaya sana
hio sentensi ya pili ka sijakupata vile