Odama huvumi lakini umo

Dinazarde ananiuma sana, jembe langu la ukweliiiiiii kwenye kunyoosha watu. Mie nahisi ban inanikaribia

Hahahaaaa...eti imekaribia...lol
Jiepushe nao wanaosababisha ban. Akitukana unampa ukweli plain bila tusi
 
Last edited by a moderator:
Nini tena kimempata kamanda wangu namba moko?? Angeniita tu tufe naye wote aiseeh Dah nguvu zote sina bila Dinazarde dah

Nipo badala yakee bina usijal wachawii wa mtaaa wapili wamekuja kutuwangia uchii humuu sie bonge la maarufuuu Jf nomaa
 
Last edited by a moderator:
nimecheka sana nimetoka kuwasoma kule kwenye TV station lol

Billionaire chali

Ungekuja Jana binamu ligi ilikua Kali ilianza SAA nne ikaisha saa Tisa baada ya ban post zangu nyingi wamezifuta yule jamaa alinitafuta sana halafu kakimbia
 
Ungekuja Jana binamu ligi ilikua Kali ilianza SAA nne ikaisha saa Tisa baada ya ban post zangu nyingi wamezifuta yule jamaa alinitafuta sana halafu kakimbia

jana sikuwa online kabisaaaaa.. leo ndio nimeingia nimecheka sana aiseeee

I wish ningekuwepo nifatilie thread kama zile ndio nazipenda... sasa billionaire nae jamani Khaa
 
jana sikuwa online kabisaaaaa.. leo ndio nimeingia nimecheka sana aiseeee

I wish ningekuwepo nifatilie thread kama zile ndio nazipenda... sasa billionaire nae jamani Khaa

Sijui anashida gani yule mwanaume mwenzetu ungeshuhudia jana ungecheka ban niliipatia pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…