Ivi yule mtoto wa mange mkubwa baba yake Nani?? Maana si muonagi akimpaisha instagram , kila siku anampaisha zeru zeru, sio fresh anavyofanya bhna, ampost na yeye kidogo mtoto wake na yeye ajisikie ana baba.
baba yake anaitwaga frank machozi, sasa atampaishaje mwanaume mwingine wakati anaishi na mwanaume mwingine! unataka arudishwe bongo mwenzio eeehhh
Ivi yule mtoto wa mange mkubwa baba yake Nani?? Maana si muonagi akimpaisha instagram , kila siku anampaisha zeru zeru, sio fresh anavyofanya bhna, ampost na yeye kidogo mtoto wake na yeye ajisikie ana baba.
Wazungu ni waelewa mbona, kama angekuwa ana roho ya hi yo sidhan kama angekubal kuish na huyo mtoto , ampaishe na yeye si ni mzaz mwenzie bhna, wangekuwa hawajazaa kweli, Jamaa kaacha chata ya maana, mange naona atakazana kubeba mimba hadi apate baby girl wa kizungu hihiii
Hahaaaa umeona eeh binamu picha nyingi hata kwenye blog yake huwa anamtenga hata hafeel kuwa proud nae.
Chinga One sema haki ya munguNjoo kwa Chinga One kila kitu utapata hata ukitaka kitalu cha gesi ntakupatia na wewe ujidai.
Aaaah ivi binamu ulinisoma nilipomaanisha mheshimiwa first class?? Maana naona una nia ya dhati ya kumpata mh first class, hihii unfortunately anakuwa ni mh the one n only
Hahahaaaa.... huu uzi umepata umaarufu kweli... halafu cha ajabu hau-die naturally Kama zingine.
Nipo mimi sema huna habari zangu tu.....we njoo nikupe raha za mujini we mutotoo!
Bhas kila la kher kwenye mchakato wa kumnasa mh first class
Hebu nenda nae fasta tumalize mahesabu. Mjini hapa ooohoooo....
mh...mi najua ana mtoto1, usingizi anaupata kwa nani sijui
fresh binamu, kuwa makini tu uko mawindoni maana team ukweli anakutafutia scandal hayaanike na yako uko insta
Chinga One sema haki ya mungu
hahahaaaa huu ukifa tunaufufua... are u okay my dear
Haki ya mungu tena yesu na maria.Chinga One sema haki ya mungu
Haki ya mungu tena yesu na maria.
okay tuanze michakato Easter hiyo yaja