Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

baba yake anaitwaga frank machozi, sasa atampaishaje mwanaume mwingine wakati anaishi na mwanaume mwingine! unataka arudishwe bongo mwenzio eeehhh
Ivi yule mtoto wa mange mkubwa baba yake Nani?? Maana si muonagi akimpaisha instagram , kila siku anampaisha zeru zeru, sio fresh anavyofanya bhna, ampost na yeye kidogo mtoto wake na yeye ajisikie ana baba.
 
Wazungu ni waelewa mbona, kama angekuwa ana roho ya hi yo sidhan kama angekubal kuish na huyo mtoto , ampaishe na yeye si ni mzaz mwenzie bhna, wangekuwa hawajazaa kweli, Jamaa kaacha chata ya maana, mange naona atakazana kubeba mimba hadi apate baby girl wa kizungu hihiii
 
Hahaaaa umeona eeh binamu picha nyingi hata kwenye blog yake huwa anamtenga hata hafeel kuwa proud nae.
 
Teh teh na anavyo zaa sasa aangalie asijekuwa mama lucky 7
 
Hahaaaa umeona eeh binamu picha nyingi hata kwenye blog yake huwa anamtenga hata hafeel kuwa proud nae.

hata kama ni Matonya bhana amuweke hivyo hivyo tu, si ndo alimpenda akazaa nae bhna, anapenda sana kuianika familia yake bas amuanike na baba mtoto wake bhas tumuone, huyo zeru zeru mpanda maua tushamchoka
 
Back
Top Bottom