Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

Wenye mji wanadai eti aliliwa bure/alitoa ofa...ila anapenda sana kuachia kifua wazi akiendaga kwenye shoo za wasanii wa nje. basi vititi anavibetua vinasimama weeeee utadhania hajaenda age. Mboni mambo mengine unafanya ni ya mateenager tulia na acha kubetua hivyo vititi vyako. kama wanakutaka watakufwata hata ukiwa umevifunika hvo vititi vyako.

Age inappropriate!!!!!🙄🙄
 
Niliona Siwema ana tumbo ni la nanii la Ney au??kazimix niniii sijakupata mrembo

Yani hiyo picha ya tumbo ni yadada yake ndo mjamzito anadanganya watu anamimba then kaweka picha yake na hiyo ya kitumbo aonekane kama yeye ila sio.
 
Hivi wenye nchi hawajamuona tu kupitia kwenye kipindi chake? Au wanapenda bongo movies tu
Tatizo la mboni taxi mashine imetumiaka sana, huoni kule kwenye uzi wake kuna jamaa anadai kila waki do hataki kuvua sidiria kitu ambacho huenda ishageuka ndala chapa bata. sasa unadhani hao wenye inji hawatakidamu changa? nyumbani mkewe 40 yrs na kwa mboni 37/38ys sasa si heri tu abaki na mkewe walee watoto kuliko kuyafwata maradhi ya ukongweni
 
Nimesoma hiyo stori ya Mboni kwenye Teamukweli na uwazi ila huko mbali humuhumu kwenye hii forum kuna thread yake ineandikwa celebu mboni ya tangu mwaka 2011 ukiiingia huko sasa ndo utayajua makubwa na magumu zaidi ya huko insta.
 
Hahhhahhhahhhahha hajapata fursa alilia mpaka mbele ya mzee Mwinyii kua wamuombee apate mumee hahhhha aisee kuna umuhimu wa kuolewa mapemaa bado miaka mi nne afikishe 40

Mboni muigizaji labda alitaka mzee mwinyi amtafutie kijana wake aliyebaki baki ili amsitiri au kama kuna kada wa chama wa ngazi za juu aliyechelewa chelewa aelekezwe na wazee kwa mboni.....chezeya mboni wewe kwanini asililie kwa mjumbe wake wa serikali ya mtaa anaenda kulilia mbele ya mwinyi?mjini mipango
 
Nimesoma hiyo stori ya Mboni kwenye Teamukweli na uwazi ila huko mbali humuhumu kwenye hii forum kuna thread yake ineandikwa celebu mboni ya tangu mwaka 2011 ukiiingia huko sasa ndo utayajua makubwa na magumu zaidi ya huko insta.

Nimeiona mmh maBIG
 
Mboni muigizaji labda alitaka mzee mwinyi amtafutie kijana wake aliyebaki baki ili amsitiri au kama kuna kada wa chama wa ngazi za juu aliyechelewa chelewa aelekezwe na wazee kwa mboni.....chezeya mboni wewe kwanini asililie kwa mjumbe wake wa serikali ya mtaa anaenda kulilia mbele ya mwinyi?mjini mipango

Kwa mjumbe mbali...angelilia rum kwake
 
Yani hiyo picha ya tumbo ni yadada yake ndo mjamzito anadanganya watu anamimba then kaweka picha yake na hiyo ya kitumbo aonekane kama yeye ila sio.

Nomaaa sanaaaa kwa hiyooo yule babu ashamtema Siwemaa au bado wapo nae alivishwa pete mwaka ganiii
 
Tatizo la mboni taxi mashine imetumiaka sana, huoni kule kwenye uzi wake kuna jamaa anadai kila waki do hataki kuvua sidiria kitu ambacho huenda ishageuka ndala chapa bata. sasa unadhani hao wenye inji hawatakidamu changa? nyumbani mkewe 40 yrs na kwa mboni 37/38ys sasa si heri tu abaki na mkewe walee watoto kuliko kuyafwata maradhi ya ukongweni

Una maneno eti bora abaki kwa mkewe walee watoto,hahhhhhhhahhhhahhha
 
Mboni muigizaji labda alitaka mzee mwinyi amtafutie kijana wake aliyebaki baki ili amsitiri au kama kuna kada wa chama wa ngazi za juu aliyechelewa chelewa aelekezwe na wazee kwa mboni.....chezeya mboni wewe kwanini asililie kwa mjumbe wake wa serikali ya mtaa anaenda kulilia mbele ya mwinyi?mjini mipango

Tatizo la hawa wadada wa mjini wanataka watu wenye pesa zao na wenye majina kama kina chief kiumbe ha ha ha wakina kabwela hawataki sasa akifikisha 40 atakuwa so stress up hana mtoto hana mume,
 
Nomaaa sanaaaa kwa hiyooo yule babu ashamtema Siwemaa au bado wapo nae alivishwa pete mwaka ganiii
Na huyo ney naye ni ----- kweli mwanaume mzima unakubali mpenzi wako akatembee nje na babu halafu anahongwa huko anakuja kukuhonga na wewe unakubali, wanaume wa sasa hivi ni wanaume suruali tu, aibu yake
 
Hahhhha Ney Falaa hana pesa za kuhonga bali za maneno tu ya kutukuna watu hahhhhhahhha
 
Tatizo la hawa wadada wa mjini wanataka watu wenye pesa zao na wenye majina kama kina chief kiumbe ha ha ha wakina kabwela hawataki sasa akifikisha 40 atakuwa so stress up hana mtoto hana mume,

Kwani hana mtoto? mhhh makubwa, umri ule hana mtoto? wadada wa mjini wakifika 35 tu hakieleweki huwa wanajizalia kimyaaa...! huenda walishamchokonoa kizazi masikini kwa njia wanazodai kapita sidhani kama kuna usalama
 
Nomaaa sanaaaa kwa hiyooo yule babu ashamtema Siwemaa au bado wapo nae alivishwa pete mwaka ganiii

Huyo Obasanjo sijui bado yuko nae sijui katemwa maana nasikia kuna star anammendea ila nimemsahau jina maana habari yenyewe niliisoma juujuu tu jana asb.
 
Back
Top Bottom