Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

.wakihara wajue watayazoa wenyewe...tatizo watu wamemchoka na drama zake...kajifungua yuko peke yake km nchawi...anajifanya kuleta nguo kumbe anakuja kuongeza nguvu kwa mganga wake wa chanika

Hahahaaa...watu mna details balaa... kuna kipindi nasikia alitaka kuachwa baada ya ile skendo ya kuvuja email akaenda kuzima soo Chanika...ya kweli haya?
 
Hahahaaaahaaaa....acha kabisa.. ilikuwa nusu glass tu but mmmmh

Huwa naona wa2 wakimya wanarembua balaa, ngoja mie niingie mzigoni ila kma huyo mdada anaenda chanika dawa haishiki aje nimpeleke kwa babu atampata jayz au warren buffet
 
.wakihara wajue watayazoa wenyewe...tatizo watu wamemchoka na drama zake...kajifungua yuko peke yake km nchawi...anajifanya kuleta nguo kumbe anakuja kuongeza nguvu kwa mganga wake wa chanika

Heee kumbeee hadi wazungu limbwataa inawakubaliiiiii hahhhhhahha tatizo mishauo mnooo lazima awe mchawiii
 
Huwa naona wa2 wakimya wanarembua balaa, ngoja mie niingie mzigoni ila kma huyo mdada anaenda chanika dawa haishiki aje nimpeleke kwa babu atampata jayz au warren buffet

Nami nipelekeee hahhhahhhhahhhaa
 
Tena we Dinazarde unahitaji kupNdishwa nyota yako maana imefifia. Pia utapewa na ya kumweka kiganjani... no kufurukuta. Atakutii kwa lolote usemalo

Uuuwiiiii kumbeee imefifiaaaa lol ndio nipo masikini wa malii lakin tajirii wa rohoo we ushawahi kumuweka mtu kiganjaniii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom