Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,763
- 766
nakupata wapi Fisherscom na Easter ndio hiyoooo yaja
Mi nipo malkia,naona Chinga One anatoa udenda tu na mimacho....
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakupata wapi Fisherscom na Easter ndio hiyoooo yaja
Hahhhha eti binam tunamuonea wivu mangeee
Itakua ina ukweli ndan yake,maana hawatoki midomoni,kama anawakera kwanin mnaenda kule kumuangalia?msiende na wala hamtakereka
Na yeye asije hukuuu kwa hiyo nae anamuonea wivu sintaa maana hamtoki mdomoniiii haloooooo
Kwanza kama hivyo naye basi anamuonea wivu sinta.. Kwanini aendelee kumsakama kama anajiona kamzidi.
Nayeye huyo kimavi na team yake mbona wanakuja huku kuangalia tunayodiscuss na kwenda kutusema huko blog yake.
mmh afuatiliwe kwa maisha gani? Si bora hata sintah ana kiduka chake yeye kutwa kuzurula na migaguro yake, si afungue duka na yeye uko marekani tuone jeur yake ya fedha.
Mi nipo malkia,naona Chinga One anatoa udenda tu na mimacho....
chinga one maneno mengi..nahitaji vitendo sio maneno
Umeona eeh...muda huu ungekua Hawaii unakula Easter... maneno meengi ya kujenga hewani tu..
haya mtoto wa Odama anaendeleaje? Haa haa . Tunaomba mleta mada aufunge huu uzi naona imetosha
tatizo la mange ulimbukeni na kujiona yuko juu wakati ana maisha ya kawaida akipga vipcha na kuweka ndo watu wanatetemeka angekuwa na maisha mazuri angekuwa anakuja huku bongo kuuza nguo aache kujishaua naye kama ana hela aanzishe botique U.s.a basi kama anazo kujishaua kwingi
Hahhhhhahhhha weeee wauwacheeee banaa
ufungwe ili uanze mwengine ule unaosubiriwa kwa hamu...
Pamoja na haiba ya usoni lakn mnyakyusa huyu hana MGUU kabisa na ukitaka kujua angalia movie yake ya Jicho Langu!!! Yaaani mguu kama ufito!!!
Hahhhhhahhhhhahhhha Mola hakupi vyoteee