Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Yanga anafungwa goli 2, Simba anafungwa kwa penati.
weka shilingi 50 elfu upate laki 8
weka shilingi 50 elfu upate laki 8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza kamba mkuu, kuna odd ya 0.12? Maana yake ukiweka stake ya 100k na ukishinda utapata 12k?Odds hazichezi mpira, ingekuwa zinacheza mpira basi Yanga ingeshinda mechi ya Dar ilipopewa odds 1.40 na makapuni ya kubeti. Atakayejipanga vizuri kesho ndio watakaopata matokeo na kufuzu.
Watu wa kubet watakuwa na uzoefu mkubwa na reference za timu zilizoprwa odds mlima lakini zimeshinda. Na timu zilizopewa odds kiduchu 0.12 lakini zikafungwa
Ila wewe jamaa mpira bado sana kuujua unajilazimisha Haya hapa Petro Luanda alipewa Odda 9 dhidi ya Mamelodi hatua hiyo hiyo ya robo fainali na game iliisha sareweka hela kama you believe in ur results. group stage is not that tactical
Sorry nilitaka kumaanisha ni 1.12Punguza kamba mkuu, kuna odd ya 0.12? Maana yake ukiweka stake ya 100k na ukishinda utapata 12k?
Bado ni Ramadhani mkuu, ntume hapendi uongo.
Hapa imetumika silaha nzito sana.... yaani kajaa mwenyeweIla wewe jamaa mpira bado sana kuujua unajilazimisha Haya hapa Petro Luanda alipewa Odda 9 dhidi ya Mamelodi hatua hiyo hiyo ya robo fainali na game iliisha sareView attachment 2954016
Wanamaanisha uwezekano wa Yanga kushinda ni mdogo sana kulinganisha na uwezo wa Mamelod kushinda.Daa mi sielewi hapo, mana sijawai beti. Maana yake ni kua yanga anashinda ?
Sichezi kamari ila lengo nikupe maarifa kuwa odds huwa hazichezi mpira ndio maana nimekupa mifano iliyo haiweka pesa mzee. [emoji23][emoji23]kama unajua matokeo kuna peasa hapo
muhindi anawajaza kwenye mtego. kila la kheri wazee wa kubeti.kama unajua kutabili matokeo ya yanga 😂😂. weka yanga win na mshahara wako. upate wa 9months .
weka nyumba 1 upate nyumba 9.
Acheni siasa za mpira, walk the talk.
View attachment 2953977
Sasa kwani ni uongo??Wanamaanisha uwezekano wa Yanga kushinda ni mdogo sana kulinganisha na uwezo wa Mamelod kushinda.
Shukran mkuuWanamaanisha uwezekano wa Yanga kushinda ni mdogo sana kulinganisha na uwezo wa Mamelod kushinda.
Daa mi sielewi hapo, mana sijawai beti. Maana yake ni kua yanga anashinda ?
Una vinasaba ya upunga sio burethis is not group stage. it's a quarter final. walk the talk. weka hela kama you believe on ur theory.
We ni mchumba tu, kuna mtu kashanijibu hapo juu nishaelewaYes anashinda Goli Tisa
Jamaa akafuta comments ila akasahau kuwa watu walim quoteUna vinasaba ya upunga sio bure