Odero amekuja na kamati yake ya maridhiano, je mnakubaliana nayo?

Anatumika na Samia kutaka kufunika mauaji. Alianza kupush hiyo ajenda akiwa ndani ya cdm, wakamfuku sasa naona bado analazimisha. Ukimuuliza wanapata wapi pesa za hilo zoezi yuko kimya. Ukimuuliza kama wana nguvu za kisheria pia anakaa kimya, ila anataka watu waingie tu kwenye maridhiano.
 
Siasa za tz bara unatakiwa uzicheze kwa steps. Wengi wanasiasa wapo kwa ajili ya matumbo yao. Kama nyerere hakushurikiana na waislam ktk harakati za kudai uhuru wa Tanganyika, hadi leo bado uhuru usingepatikana
 
kwamba kivipi waislamu waliwafanya waingereza hadi wakawapa uhuru?
 
Soma kitabu cha sheikh Mohamed Said
Wazungu waliwapeleka shule akina Nyerere, Oscar kambona, Warioba, Mwaiseje, Lusinde, Mwambungu, Msekwa, sokoine yani wakristo ili baadaye wawape uhuru

Kwakifupi karume hakujua kutunga hata sentensi moja ya kiingereza,
Mapinduzi ya Zanzibar yaliongozwa na John okelo na Julius Nyerere.

Wislamu hawakuwa na kitu chochote zaidi ya Kufuga majini.
 
Kama ni hivyo kwanini wakiristo wa chadema leo wanashindwa hata kujinisua ? Kutwa wanalalamika mitandani?
 
Wazungu waliwapeleka shule akina Nyerere, Oscar kambona, Warioba, Mwaiseje, Lusinde, Mwambungu, Msekwa, sokoine yani wakristo ili baadaye wawape uhuru

Kwakifupi karume hakujua kutunga hata sentensi moja ya kiingereza,
Mapinduzi ya Zanzibar yaliongozwa na John okelo na Julius Nyerere.

Wislamu hawakuwa na kitu chochote zaidi ya Kufuga majini.
Hata kibiriti unaotumia hivi sasa Madein somalia
 
Back
Top Bottom