Odero amekuja na kamati yake ya maridhiano, je mnakubaliana nayo?

Odero amekuja na kamati yake ya maridhiano, je mnakubaliana nayo?

Odero Charles Oderos nikuulize kwanini hukuhubiri maridhiano kati ya January 1 October 28 , 2025

Mtu yoyote anayehubiri maridhiano kuanzia October 29, 2025 kwangu ni nyang'au, mzabizabina na msaliti kwa maelfu ya watanzania waliouwawa na waliowaua hawajawajibishwa na maiti zingine na watu walipotea siku hiyo hawajawahi kujulikana wapo wapi .

Uwajibikaji kwanza propaganda za posho za udalali kusafisha wauaji hazifai.
 
Kama ni hivyo kwanini wakiristo wa chadema leo wanashindwa hata kujinisua ? Kutwa wanalalamika mitandani?
Na waislam wa ccm wamejinasua wapi mbali na kuteka watu? Kwanini mama yenu na waziri wake yule Mwarabu koko kombo wameshindwa kupambana na wazungu kama waliweza kipindi Cha ukoloni? Leo hao waislam kwanini wanalilia wazungu si waende Kwa waislam wenzao uarabuni.
 
Siasa za tz bara unatakiwa uzicheze kwa steps. Wengi wanasiasa wapo kwa ajili ya matumbo yao. Kama nyerere hakushurikiana na waislam ktk harakati za kudai uhuru wa Tanganyika, hadi leo bado uhuru usingepatikana
Kwahiyo unashauri tushirikiane na Odero maana atakuwa muisilamu?
 
Wadau naomba majibu kwenye kichwa Cha habari hapo juu.
Daah katika jamaa ambao nilikuwa nawakubali sana tokea anasoma Chuo SAUT basi ni huyu ODERO ambaye kwa sasa amebadilika na kuwa mtu wa hovyo sana. Kwanza sio Mwanachadema kwa sasa.
 
Back
Top Bottom