Odero: Heche hutaki maridhiano, acha kusingizia Lissu kuwa huru

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mwanasiasa Odero Charles Odero ametoa wito na kumtaka kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,John Heche kurudi kwenye Maridhiano na kama kweli anania ya dhati ya Tundu Lissu atoke nje anatakiwa awe na mahusiano mazuri na Seriakali na aache kusingizia Mwenyekiti wake kuwa huru

Amesema njia ya kutengeneza mahusiano na Seriakali itarahisisha Tundu Lissu kuwa huru na na kuzima sakata wanaloliona wengine kuwa wananufaika na Mwenyekiti wao kuwa ndani hivyo ili wasionekane wananufaika inapaswa kurudi chini ili Lissu aachiwe katika njia za Kidiplomasia

Soma Pia:
"Ili Chama pamoja na Viongozi msionekane mnanufaika na uwepo wa Lissu ndani ni sisi kurudi chini ,Kulazimisha Kwa kutoa misimamo hatuwezi kumnusuru ...." Amesema Odero

Hivi kuna baadhi ya watanzania wenzetu sijui ni mazezeta, mazwazwa au ni mabwege. Hivi hebu tuelezeni huyo Heche anafaidika vipi kwa Lissu kuwa korokoroni?

Heche ndiye aliyeagiza Lissu akamatwe na yeye ndiye anayekata rufani ama kuzuia kesi ya Lissu isisikilizwe?
 
Odero! Tundu Lissu amesikika akisema ''wapelekewe moto''. Heche ana nufaika vipi na uwepo wake Gerezani?
Na kama anafaidika, si ingalikuwa vema serikali imwachie ili kukata mirija ya kina Heche

Odero! si tulisikia maridhiano yanafanywa bila CHADEMA, kwani imekuwaje! Mbona Uchaguzi CHADEMA haikushiriki na vyama 16 vilishiriki na mambo yakaenda vizuri tu. Kipi kinashindikana katika maridhiano!
 
Wameshikwa pabaya ...
Odero! Tundu Lissu amesikika akisema ''wapelekewe moto''. Heche ana nufaika vipi na uwepo wake Gerezani?
Na kama anafaidika, si ingalikuwa vema serikali imwachie ili kukata mirija ya kina Heche

Odero! si tulisikia maridhiano yanafanywa bila CHADEMA, kwani imekuwaje! Mbona Uchaguzi CHADEMA haikushiriki na vyama 16 vilishiriki na mambo yakaenda vizuri tu. Kipi kinashindikana katika maridhiano!
 
Mwanasiasa Odero Charles Odero ametoa wito na kumtaka kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,John Heche kurudi kwenye Maridhiano na kama kweli anania ya dhati ya Tundu Lissu atoke nje anatakiwa awe na mahusiano mazuri na Seriakali na aache kusingizia Mwenyekiti wake kuwa huru

Amesema njia ya kutengeneza mahusiano na Seriakali itarahisisha Tundu Lissu kuwa huru na na kuzima sakata wanaloliona wengine kuwa wananufaika na Mwenyekiti wao kuwa ndani hivyo ili wasionekane wananufaika inapaswa kurudi chini ili Lissu aachiwe katika njia za Kidiplomasia

Soma Pia:
"Ili Chama pamoja na Viongozi msionekane mnanufaika na uwepo wa Lissu ndani ni sisi kurudi chini ,Kulazimisha Kwa kutoa misimamo hatuwezi kumnusuru ...." Amesema Odero
Odero kafanye maridhiano na wanaokutuma kubweka kama mbwa, kwanza ulishafukuzwa.
 
Mwanasiasa Odero Charles Odero ametoa wito na kumtaka kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,John Heche kurudi kwenye Maridhiano na kama kweli anania ya dhati ya Tundu Lissu atoke nje anatakiwa awe na mahusiano mazuri na Seriakali na aache kusingizia Mwenyekiti wake kuwa huru

Amesema njia ya kutengeneza mahusiano na Seriakali itarahisisha Tundu Lissu kuwa huru na na kuzima sakata wanaloliona wengine kuwa wananufaika na Mwenyekiti wao kuwa ndani hivyo ili wasionekane wananufaika inapaswa kurudi chini ili Lissu aachiwe katika njia za Kidiplomasia

Soma Pia:
"Ili Chama pamoja na Viongozi msionekane mnanufaika na uwepo wa Lissu ndani ni sisi kurudi chini ,Kulazimisha Kwa kutoa misimamo hatuwezi kumnusuru ...." Amesema Odero
My friends, ladies and gentlemen,
ni muhimu sana kuacha kujidanganya eti huyo muhaini anaesota korokoroni ataachiwa huru kwasababu ya maridhiano.
That will never happen.

Wasahau kabisa hiyo kitu kama wanafikiria hivyo. Katiba na sheria za nchi zipo na zitaendelea kufanya kazi kama kawaida bila likizo na bila kujali mkiuka sheria ni kibaraka au vinginevyo 🐒
 
Odero! Tundu Lissu amesikika akisema ''wapelekewe moto''. Heche ana nufaika vipi na uwepo wake Gerezani?
Na kama anafaidika, si ingalikuwa vema serikali imwachie ili kukata mirija ya kina Heche

Odero! si tulisikia maridhiano yanafanywa bila CHADEMA, kwani imekuwaje! Mbona Uchaguzi CHADEMA haikushiriki na vyama 16 vilishiriki na mambo yakaenda vizuri tu. Kipi kinashindikana katika maridhiano!
Odero siyo mzima
 
Hivi kuna baadhi ya watanzania wenzetu sijui ni mazezeta, mazwazwa au ni mabwege. Hivi hebu tuelezeni huyo Heche anafaidika na kivipi kwa Lissu kuwa korokoroni?

Heche ndiye aliyeagiza Lissu akamatwe na yeye ndiye anayekata rufani ama kuzuia kesi ya Lissu isisikilizwe?
Mimi ni nisaidie kwani Makamu Mwenyekiti ana mamlaka ya kuingia maridhiano sijui makubaliano kama wanavyo lazimisha Heche aingie badala ya Mwenyekiti wake Lissu
 
Mwanasiasa Odero Charles Odero ametoa wito na kumtaka kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,John Heche kurudi kwenye Maridhiano na kama kweli anania ya dhati ya Tundu Lissu atoke nje anatakiwa awe na mahusiano mazuri na Seriakali na aache kusingizia Mwenyekiti wake kuwa huru

Amesema njia ya kutengeneza mahusiano na Seriakali itarahisisha Tundu Lissu kuwa huru na na kuzima sakata wanaloliona wengine kuwa wananufaika na Mwenyekiti wao kuwa ndani hivyo ili wasionekane wananufaika inapaswa kurudi chini ili Lissu aachiwe katika njia za Kidiplomasia

Soma Pia:
"Ili Chama pamoja na Viongozi msionekane mnanufaika na uwepo wa Lissu ndani ni sisi kurudi chini ,Kulazimisha Kwa kutoa misimamo hatuwezi kumnusuru ...." Amesema Odero

..kama Heche anafaidika na Lissu kuwepo ndani basi wamtoe ili asiendelee kufaidika.

..Jumuiya ya Madola waliposema Lissu atolewe ni upande upi ulikuwa wa kwanza kupinga rai hiyo?
 
Odero! Tundu Lissu amesikika akisema ''wapelekewe moto''. Heche ana nufaika vipi na uwepo wake Gerezani?
Na kama anafaidika, si ingalikuwa vema serikali imwachie ili kukata mirija ya kina Heche

Odero! si tulisikia maridhiano yanafanywa bila CHADEMA, kwani imekuwaje! Mbona Uchaguzi CHADEMA haikushiriki na vyama 16 vilishiriki na mambo yakaenda vizuri tu. Kipi kinashindikana katika maridhiano!
Hivi Odero bado ni mwanachama wa CDM?
 
Hivi kuna baadhi ya watanzania wenzetu sijui ni mazezeta, mazwazwa au ni mabwege. Hivi hebu tuelezeni huyo Heche anafaidika na kivipi kwa Lissu kuwa korokoroni?

Heche ndiye aliyeagiza Lissu akamatwe na yeye ndiye anayekata rufani ama kuzuia kesi ya Lissu isisikilizwe?
Kwanini anahimiza CHADEMA iwe na mahusiano mazuri serekali na si serekali kubwa na mahusiano mazuri na CHADEMA?
Ktk hili la mahusiano, serekali ndiyo kinara wa kuhusiana vibaya na CHADEMA.
Lissu hakujibambikia kesi
Odero ahimize serekali ihusiane vizuri na CHADEMA kwa kumtoa nje Lissu ndoa maridhiano yaendelee. Zaidi ya hapo ni unafiki tu.
 
Hivi kuna baadhi ya watanzania wenzetu sijui ni mazezeta, mazwazwa au ni mabwege. Hivi hebu tuelezeni huyo Heche anafaidika na kivipi kwa Lissu kuwa korokoroni?

Heche ndiye aliyeagiza Lissu akamatwe na yeye ndiye anayekata rufani ama kuzuia kesi ya Lissu isisikilizwe?
Walianza na episode 1 kwamba Heche ananufuika na kufungwa kwa Lissu ikabuma. Wakaja na episode 2 ya kumsingizia kwamba kala hela za tonetone nayo imebuma then wameona wajaribu bahati yao kwa kuihuisha episode 1 tena.🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hata uwe na akili nyingi kiasi gani ukipewa kazi ya kupindisha HAKI lazima utaonekana kilaza tu!
 
Mwanasiasa Odero Charles Odero ametoa wito na kumtaka kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,John Heche kurudi kwenye Maridhiano na kama kweli anania ya dhati ya Tundu Lissu atoke nje anatakiwa awe na mahusiano mazuri na Seriakali na aache kusingizia Mwenyekiti wake kuwa huru

Amesema njia ya kutengeneza mahusiano na Seriakali itarahisisha Tundu Lissu kuwa huru na na kuzima sakata wanaloliona wengine kuwa wananufaika na Mwenyekiti wao kuwa ndani hivyo ili wasionekane wananufaika inapaswa kurudi chini ili Lissu aachiwe katika njia za Kidiplomasia

Soma Pia:
"Ili Chama pamoja na Viongozi msionekane mnanufaika na uwepo wa Lissu ndani ni sisi kurudi chini ,Kulazimisha Kwa kutoa misimamo hatuwezi kumnusuru ...." Amesema Odero
Kwani Nani kamweka ndani Lisu?
Si, mmalize kesi,mpeni Lisu hukumu, mnyongeni, familia ipewe mwili, azikwe,tuone huyo Heche kama atawasumbua,
Mnashindwa nini!makende nyie
 
Back
Top Bottom