Voltaire
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 1,964
- 2,192
Huyu kama selasini na wale wa bumbuli na mkinga ni wa kupuuza!Mwanasiasa Odero Charles Odero ametoa wito na kumtaka kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,John Heche kurudi kwenye Maridhiano na kama kweli anania ya dhati ya Tundu Lissu atoke nje anatakiwa awe na mahusiano mazuri na Seriakali na aache kusingizia Mwenyekiti wake kuwa huru
Amesema njia ya kutengeneza mahusiano na Seriakali itarahisisha Tundu Lissu kuwa huru na na kuzima sakata wanaloliona wengine kuwa wananufaika na Mwenyekiti wao kuwa ndani hivyo ili wasionekane wananufaika inapaswa kurudi chini ili Lissu aachiwe katika njia za Kidiplomasia
Soma Pia:
"Ili Chama pamoja na Viongozi msionekane mnanufaika na uwepo wa Lissu ndani ni sisi kurudi chini ,Kulazimisha Kwa kutoa misimamo hatuwezi kumnusuru ...." Amesema Odero
Tukiwapa airtime, tunawakuza bila kujua, tusiwajib!