Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Odero! Tundu Lissu amesikika akisema ''wapelekewe moto''. Heche ana nufaika vipi na uwepo wake Gerezani?
Na kama anafaidika, si ingalikuwa vema serikali imwachie ili kukata mirija ya kina Heche
Odero! si tulisikia maridhiano yanafanywa bila CHADEMA, kwani imekuwaje! Mbona Uchaguzi CHADEMA haikushiriki na vyama 16 vilishiriki na mambo yakaenda vizuri tu. Kipi kinashindikana katika maridhiano!
Huyu ni jandongw sio wa kuwaamini sana wa aina hii ndio kina Wenje na kundi laoOdero wacha kujitoa aibu na mkoa mzima wa Mara,maana Sasa naona mwisho wa siku utakuja kupata kichaa juu YA Heche
Wao yaendelee Tu kwani Chadema ndio wameshika maridhiano? Kwanza wanaridhiana nini?Odero! si tulisikia maridhiano yanafanywa bila CHADEMA, kwani imekuwaje! Mbona Uchaguzi CHADEMA haikushiriki na vyama 16 vilishiriki na mambo yakaenda vizuri tu. Kipi kinashindikana katika maridhiano!
Odero kafanye maridhiano na wanaokutuma kubweka kama mbwa, kwanza ulishafukuzwa.Mwanasiasa Odero Charles Odero ametoa wito na kumtaka kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,John Heche kurudi kwenye Maridhiano na kama kweli anania ya dhati ya Tundu Lissu atoke nje anatakiwa awe na mahusiano mazuri na Seriakali na aache kusingizia Mwenyekiti wake kuwa huru
Amesema njia ya kutengeneza mahusiano na Seriakali itarahisisha Tundu Lissu kuwa huru na na kuzima sakata wanaloliona wengine kuwa wananufaika na Mwenyekiti wao kuwa ndani hivyo ili wasionekane wananufaika inapaswa kurudi chini ili Lissu aachiwe katika njia za Kidiplomasia
Soma Pia:
"Ili Chama pamoja na Viongozi msionekane mnanufaika na uwepo wa Lissu ndani ni sisi kurudi chini ,Kulazimisha Kwa kutoa misimamo hatuwezi kumnusuru ...." Amesema Odero
My friends, ladies and gentlemen,Mwanasiasa Odero Charles Odero ametoa wito na kumtaka kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,John Heche kurudi kwenye Maridhiano na kama kweli anania ya dhati ya Tundu Lissu atoke nje anatakiwa awe na mahusiano mazuri na Seriakali na aache kusingizia Mwenyekiti wake kuwa huru
Amesema njia ya kutengeneza mahusiano na Seriakali itarahisisha Tundu Lissu kuwa huru na na kuzima sakata wanaloliona wengine kuwa wananufaika na Mwenyekiti wao kuwa ndani hivyo ili wasionekane wananufaika inapaswa kurudi chini ili Lissu aachiwe katika njia za Kidiplomasia
Soma Pia:
"Ili Chama pamoja na Viongozi msionekane mnanufaika na uwepo wa Lissu ndani ni sisi kurudi chini ,Kulazimisha Kwa kutoa misimamo hatuwezi kumnusuru ...." Amesema Odero
Odero siyo mzimaOdero! Tundu Lissu amesikika akisema ''wapelekewe moto''. Heche ana nufaika vipi na uwepo wake Gerezani?
Na kama anafaidika, si ingalikuwa vema serikali imwachie ili kukata mirija ya kina Heche
Odero! si tulisikia maridhiano yanafanywa bila CHADEMA, kwani imekuwaje! Mbona Uchaguzi CHADEMA haikushiriki na vyama 16 vilishiriki na mambo yakaenda vizuri tu. Kipi kinashindikana katika maridhiano!
Mimi ni nisaidie kwani Makamu Mwenyekiti ana mamlaka ya kuingia maridhiano sijui makubaliano kama wanavyo lazimisha Heche aingie badala ya Mwenyekiti wake LissuHivi kuna baadhi ya watanzania wenzetu sijui ni mazezeta, mazwazwa au ni mabwege. Hivi hebu tuelezeni huyo Heche anafaidika na kivipi kwa Lissu kuwa korokoroni?
Heche ndiye aliyeagiza Lissu akamatwe na yeye ndiye anayekata rufani ama kuzuia kesi ya Lissu isisikilizwe?
vijsenti vya kutupiwa! watu wanajua ametupiwa mifupa! wala hana haya!Odero siyo mzima
Mwanasiasa Odero Charles Odero ametoa wito na kumtaka kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,John Heche kurudi kwenye Maridhiano na kama kweli anania ya dhati ya Tundu Lissu atoke nje anatakiwa awe na mahusiano mazuri na Seriakali na aache kusingizia Mwenyekiti wake kuwa huru
Amesema njia ya kutengeneza mahusiano na Seriakali itarahisisha Tundu Lissu kuwa huru na na kuzima sakata wanaloliona wengine kuwa wananufaika na Mwenyekiti wao kuwa ndani hivyo ili wasionekane wananufaika inapaswa kurudi chini ili Lissu aachiwe katika njia za Kidiplomasia
Soma Pia:
"Ili Chama pamoja na Viongozi msionekane mnanufaika na uwepo wa Lissu ndani ni sisi kurudi chini ,Kulazimisha Kwa kutoa misimamo hatuwezi kumnusuru ...." Amesema Odero
Hivi Odero bado ni mwanachama wa CDM?Odero! Tundu Lissu amesikika akisema ''wapelekewe moto''. Heche ana nufaika vipi na uwepo wake Gerezani?
Na kama anafaidika, si ingalikuwa vema serikali imwachie ili kukata mirija ya kina Heche
Odero! si tulisikia maridhiano yanafanywa bila CHADEMA, kwani imekuwaje! Mbona Uchaguzi CHADEMA haikushiriki na vyama 16 vilishiriki na mambo yakaenda vizuri tu. Kipi kinashindikana katika maridhiano!
Kwanini anahimiza CHADEMA iwe na mahusiano mazuri serekali na si serekali kubwa na mahusiano mazuri na CHADEMA?Hivi kuna baadhi ya watanzania wenzetu sijui ni mazezeta, mazwazwa au ni mabwege. Hivi hebu tuelezeni huyo Heche anafaidika na kivipi kwa Lissu kuwa korokoroni?
Heche ndiye aliyeagiza Lissu akamatwe na yeye ndiye anayekata rufani ama kuzuia kesi ya Lissu isisikilizwe?
Walianza na episode 1 kwamba Heche ananufuika na kufungwa kwa Lissu ikabuma. Wakaja na episode 2 ya kumsingizia kwamba kala hela za tonetone nayo imebuma then wameona wajaribu bahati yao kwa kuihuisha episode 1 tena.🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi kuna baadhi ya watanzania wenzetu sijui ni mazezeta, mazwazwa au ni mabwege. Hivi hebu tuelezeni huyo Heche anafaidika na kivipi kwa Lissu kuwa korokoroni?
Heche ndiye aliyeagiza Lissu akamatwe na yeye ndiye anayekata rufani ama kuzuia kesi ya Lissu isisikilizwe?
Kwani Nani kamweka ndani Lisu?Mwanasiasa Odero Charles Odero ametoa wito na kumtaka kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,John Heche kurudi kwenye Maridhiano na kama kweli anania ya dhati ya Tundu Lissu atoke nje anatakiwa awe na mahusiano mazuri na Seriakali na aache kusingizia Mwenyekiti wake kuwa huru