Odi jamani namba mnipoke niwe mwana cha

Odi jamani namba mnipoke niwe mwana cha

Ahaaa kumbe Freemason.
Sasa njia ni ile ile.
MAHITAJI
Unajua alovera? Iwe imeota sehemu ya ukame,
Majani ya mapera yale mapera ya kienyeji siyo ya kizungu.
Na tangawizi.

NAMNA YA KUJIUNGA.
Chukua majani ya alovera kata kidogo kigogo. Chemshaaa.
Majani ya mapera pia twanga kwenye kinu chemsha.
Tangawizi itwange chemsha.
Halafu changanya huo mchanganyiko pamoja. Usiwe na maji mengi.
kunywa glass asubuh mchana na jioni.
HAPO HAUTAKUWA FREEMASON TUU BALI UTAKUWA SHETANI MWENYEWE. YAANI BOSI WAO.
karibu kwa maswali

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa, umetisha
 
Kiukeli najua kusoma nakuandika ila shida bado sijui ku chat na simat phon laki so shule mnisaidie to kama kuna uwezekano nakama amuna safitu nitafute pengine wanasema alioko juu mngoje chini lakini mimi sikutaka ku wangoja chini ndomaana nimewafata juu tufundishane tu waungwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Ushafika juu jishikilie usianguke tu,subiri maelezo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom