Odinga apinga matokeo, adai ni matokeo ya mashine sio Wakenya

Odinga apinga matokeo, adai ni matokeo ya mashine sio Wakenya

Akae pembeni,hawezi kushinda raila..!unazani wakenya ni mapunda kama watz!aende akatulie chato kwa swaiba wake.
Kwa hiyo unamaanisha sisi Watanzania ni mapunda ati? Chuki zako dhidi ya mtu fulani zisikufanye uwachukie Watanzania wote.
 
Mimi nilishangaa kumantain ratio ya 54:44 toka matokeo yaanze kutangazwa mpaka mwisho!
 
Hivi nyie watanzania mnaoshangilia kwamba wenzetu watapigana kwasababu mtu kashindwa, mbona wapinzani wa tanzania waliposhindwa hakukutokea machafuko, kwanini mnashadadia machafuko yawe kwa wenzenu kisa tu kwamba yatakindhi itikadi zenu za kisiasa?!!
 
HIVI KWANINI WALIMWUA MSANDO WA ICT? NANI ALIUA? NA ALIYEUA ALIKUSUDIA NIN?
 
Hivi nyie watanzania mnaoshangilia kwamba wenzetu watapigana kwasababu mtu kashindwa, mbona wapinzani wa tanzania waliposhindwa hakukutokea machafuko, kwanini mnashadadia machafuko yawe kwa wenzenu kisa tu kwamba yatakindhi itikadi zenu za kisiasa?!! Smh... mnatia kinyaaaaaa... pathetic!
Nakusihi upitie posts zote kwa umakini maana bado ni chache, binafsi sijaona mtu anayeshashadia machafuko.
 
Wananchi wa Kenya tambueni ya kwamba maisha yanapaswa kuendelea baada ya Uchaguzi. Mnapaswa kutambua hiyo ni nchi yenu na inabidi iendelee kuwepo salama kwa manufaa yenu na vizazi vyenu vitakavyofuata, kwa hiyo ni jukumu lenu kuhakikisha inkuwa salama na inabaki salama. Fahamuni ya kwamba ikitokea fujo si Kenyata wala Raila watakaoathirika isipokuwa ni ninyi wananchi hasa wa kawaida na maisha hayanunuliwi sokoni wala dukani. Rudisheni fikra zenu nyuma kulivyotokea fujo iliyosababasha watu kadhaa kupoteza maisha, leo kuna familia zimepoteza ndugu na marafiki nawaomba hili lisijirudie. Kuweni na subira msubiri matokeo na kama kuna upande haujaridhia ufuate taratibu mubashara. Mungu wabariki wananchi wa Kenya, Mungu ibariki Afrika Mashariki, Mungu ibariki Afrika,
 
Akizungumza na waandishi wa habari asubuhi ya leo , mgombea huyo amepinga matokeo hayo ya awali yaliyotolewa na Tume ya Uchaguzi IEBC yanayoonyesha kuwa Kenyatta anaongoza wakiwa wametofautiana kwa kura zaidi ya milioni 1.3.

"Tunayakataa matokeo haya yaliyofikia sasa kwa kuwa siyo sahihi, ni mashine iliyopiga kura hizi na siyo wananchi wa Kenya", amesema Odinga.
Matokeo yanayobandikwa kituo husika ndio halali. Kila kituo kikipiga kura huwa kuna fomu Ya kujaza ambapo mawakala wa vyama vyote husaini. Sisi watanzania uchaguzi uliopita tungekubali mashine za komputa lowasa angeshinda kwani mashine Ya kuchakachua matokea ilifungwa na timu lowasa nchi ya khazakistan .yalipotumika matokeo ya fomu za vituoni hakukuwa na wizi wa kura. Lowasa alipiga kelele kuwa kaibiwa kura akiulizwa umeibiwa kituo kipi anatoa macho tu. Tume ya uchaguzi isiitumbukize Kenya kwenye tatizo lolote itoe matokeo ya vituoni. Tanzania hatutaki wakimbizi wa Kenya tumechoka kupokea wakimbizi wa nchi zinazotuzunguka. Lowasa Kama kawaletea uhuni aliotaka kufanya Tanzania.wakenya mtaingia matatizoni kura na fomu za matokeo za vituoni zilizosainiwa na vyama vyote ndio zitumike kujumlisha matokeo na ziwe scanned au zitumwe kwa fax
 
fffe3826d72eaae4ac13a62ec1815835.jpg

ec8ca7124d5a7fbd88a470aee6ae034e.jpg
 
Raila Asema NASA imeshinda kwa kura 8.1m

Mgombea urais wa muungano wa upinzani Nasa Raila Odinga amewaambia wanahabari kwamba wamepata habari kwamba mitambo ya Tume ya Uchaguzi IEBC ilidukuliwa na matokeo halisi kufanyiwa ukarabati.

Bw Odinga, akiandamana na mgombea mwenza wake Kalonzo Musyoka, na viongozi wengine wakuu wa muungano huo, amesema wadukuzi walitumia taarifa alizokuwa nazo meneja wa teknolojia wa IEBC Chris Msando aliyeuawa wiki moja iliyopita kuingia katika mitambo ya IEBC.

Waziri huyo mkuu wa zamani amesema baada ya kuingia, wadukuzi walitumia programu fulani kuongeza matokeo ya Rais Kenyatta na kupunguza matokeo yake.

Amesema anaamini hilo lilifanyika katika kaunti zote na kwamba wagombea wa NASA katika nyadhifa nyingine waliathirika pia.

Odinga, amesema huo ulikuwa "ulaghai wa hali ya juu". Na kwa hesabu zao kutokana na fomu za 34A, NASA imeshinda kwa kura 8.1m dhidi ya 7.2m za Jubilee kwenye upande wa Urais.

Hata hivyo, ametoa wito kwa wafuasi wa muungano huo waendelee kuwa watulivu.

Bw Musyoka amesema anawashauri wafuasi wa muungano huo waendelee na shughuli zao za kawaida, ingawa huenda karibuni wakatakiwa kuchukua hatua.

Bw Odinga na Kalonzo wamekataa kusema ni hatua gani zaidi watachukua na badala yake wakasema wanasubiri kusikia ufafanuzi kutoka kwa IEBC kuhusu yaliyotokea.

20638779_1548554241854655_8803509652641900114_n.jpg
 
Wakuu - wasalaamu.
Kwanza nianze kukili kwamba mi ni mfuasi wa Kenyata tangu mwanza.
Japo kuwa Rafiki yangu JPM ni rafiki wa Raila Ondinga ila hapo tunatofautiana kidogo.

Swali langu ni kwa UKAWA na Wanaharakati wa TZ - Je anachofanyiwa Ondinga ni sawa? Wanayakubari matokeo?
Wenye majibu karibuni.
Pove ruksa.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Ondika ndio Nan huyu ambaye ni rafiki wa Huyo rafiki yako JPM!??

Ili nicoment vizur
 
Matokeo yanayobandikwa kituo husika ndio halali. Kila kituo kikipiga kura huwa kuna fomu Ya kujaza ambapo mawakala wa vyama vyote husaini. Sisi watanzania uchaguzi uliopita tungekubali mashine za komputa lowasa angeshinda kwani mashine Ya kuchakachua matokea ilifungwa na timu lowasa nchi ya khazakistan .yalipotumika matokeo ya fomu za vituoni hakukuwa na wizi wa kura. Lowasa alipiga kelele kuwa kaibiwa kura akiulizwa umeibiwa kituo kipi anatoa macho tu. Tume ya uchaguzi isiitumbukize Kenya kwenye tatizo lolote itoe matokeo ya vituoni. Tanzania hatutaki wakimbizi wa Kenya tumechoka kupokea wakimbizi wa nchi zinazotuzunguka. Lowasa Kama kawaletea uhuni aliotaka kufanya Tanzania.wakenya mtaingia matatizoni kura na fomu za matokeo za vituoni zilizosainiwa na vyama vyote ndio zitumike kujumlisha matokeo na ziwe scanned au zitumwe kwa fax

Unaongea kama una undugu na Maalim Seif.
Yeye kakusanya matokeo yote ya vituoni na anatembea nayo kwenye kwapa lakini imebaki story.
Uhuru ndio Rais mteule wa Kenya.Huyo Raila anatapatapa tu lakini atayazoea hayo matokeo kadri muda unavyopita.
 
Wakuu - wasalaamu.
Kwanza nianze kukili kwamba mi ni mfuasi wa Kenyata tangu mwanza.
Japo kuwa Rafiki yangu JPM ni rafiki wa Raila Ondinga ila hapo tunatofautiana kidogo.

Swali langu ni kwa UKAWA na Wanaharakati wa TZ - Je anachofanyiwa Ondinga ni sawa? Wanayakubari matokeo?
Wenye majibu karibuni.
Pove ruksa.

Mimi sina chama lakini naomba nikusaidie.
Hakuna nchi kusini mwa Jangwa la Sahara ukitoa South Afrika ambayo wapinzani wanafanya kazi kwa uhuru na Amani kama Kenya.Uhuru alijitahidi sana kuionyesha Dunia kwamba waafrika tunaweza kuishi kidemokrasia.
Walikuwa wanaandamana wanavyotaka,wamepiga kampeni wanavyotaka sasa wanalazimisha na ushindi wapewe wanavyotaka.Demokrasia lazima mshindi na mshindwa apatikane kwa kura.
Kama hakubali matokeo atalazimishwa kuyakubali.
 
Hiyo ndo shida ya wagombea hawakubali kushindwa kwa sabbu
Wankuwa wantumia pesa nyingi kinunua wapiga kur sas anafany iongoz kam sehem ya kurudishia ghalam zak

Akubali tu kushindwa maan hiyo ndo maan halis ya mashindano..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii issue ilikuwa wazi, Odinga atashinda ila figisufigisu za IEBC na KERU wametengeneza genge lao la kuibia kura hadi wakamtoa roho Mr. Msando.

Any way, I am already packed everything to come in Kenya for a diplomatic mediation.
Don't worry guys you just fight.
they fight...aiii why wish them fight wakati hata matokea rasmi kutoka IEBC bado...hizi zinaonyesha ni provision sasa wakipokea na ku compare na hizo form ndio mambo yatakua wazi wazi....Nasa mawakala wao wamewaangusha chaliiiii....
 
Mimi nashindwaga kuwaelewa hawa waafrika wenzangu kwenye swala la kugombea nafasi za utawala. Hakuna alieshindwa akakubali matokeo ni mpaka atoe visingizio. Huyu Odinga anaesema walidukua matokeo, si angesema mwanzoni ili kabla yaupigaji kura ? Akubaliane tu na matokeo ili hali iendelee kuwa ya amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea kama una undugu na Maalim Seif.
Yeye kakusanya matokeo yote ya vituoni na anatembea nayo kwenye kwapa lakini imebaki story.
Uhuru ndio Rais mteule wa Kenya.Huyo Raila anatapatapa tu lakini atayazoea hayo matokeo kadri muda unavyopita.
Seif awe anayo au Alikuwa nayo sikatai ni haki yake kiherehere chake cha kutangaza kabla Ya tume ndio kilimgharimu alitakiwa awe na matokeo tume ikitangaza analinganisha anasema kituo hiki hayako sawa sasa yeye alitangaza kabla akataka tume ndio ilinganishe na matokea yake aliyojumulisha vyumbani na hawara zake. Kenya odinga anacholalamika ni kuwa tume inatangaza matokeo wakati form zile Za matokeo za vituoni hazipo !!!!!!!! Tume ina base wapi?
 
Back
Top Bottom