logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,242
- 5,543
Naskia Raila ni Rais wa wakenya waliopiga kura tz ndiko walimpa sana[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka kaushahidi basiNaskia Raila ni Rais wa wakenya waliopiga kura tz ndiko walimpa sana[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usichokijua ni kama usiku wa gizasystem ya wizi inayotumika nikama ile ya Trump zidi ya Hilal Clintoni
Seif awe anayo au Alikuwa nayo sikatai ni haki yake kiherehere chake cha kutangaza kabla Ya tume ndio kilimgharimu alitakiwa awe na matokeo tume ikitangaza analinganisha anasema kituo hiki hayako sawa sasa yeye alitangaza kabla akataka tume ndio ilinganishe na matokea yake aliyojumulisha vyumbani na hawara zake. Kenya odinga anacholalamika ni kuwa tume inatangaza matokeo wakati form zile Za matokeo za vituoni hazipo !!!!!!!! Tume ina base wapi?
Ni vigumu sana Ku prove kwamba system imekuwa hacked. Cha kujiuliza, yeye amejuaje? Na kama ana uthibitisho ameupataje? The only possibility ni kwamba alikuwa na illegal access yeye pia, ndio akafanikiwa kuprint hizo taarifa kitaalam wanaita audit trails.Akizungumza na waandishi wa habari asubuhi ya leo , mgombea huyo amepinga matokeo hayo ya awali yaliyotolewa na Tume ya Uchaguzi IEBC yanayoonyesha kuwa Kenyatta anaongoza wakiwa wametofautiana kwa kura zaidi ya milioni 1.3.
"Tunayakataa matokeo haya yaliyofikia sasa kwa kuwa siyo sahihi, ni mashine iliyopiga kura hizi na siyo wananchi wa Kenya", amesema Odinga.
--------------
More updates..
Raila Asema NASA imeshinda kwa kura 8.1m, Jubilee 7.2
Mgombea urais wa muungano wa upinzani Nasa Raila Odinga amewaambia wanahabari kwamba wamepata habari kwamba mitambo ya Tume ya Uchaguzi IEBC ilidukuliwa na matokeo halisi kufanyiwa ukarabati.
Bwana Odinga, akiandamana na mgombea mwenza wake Kalonzo Musyoka, na viongozi wengine wakuu wa muungano huo, amesema wadukuzi walitumia taarifa alizokuwa nazo meneja wa teknolojia wa IEBC Chris Msando aliyeuawa wiki moja iliyopita kuingia katika mitambo ya IEBC.
Waziri huyo mkuu wa zamani amesema baada ya kuingia, wadukuzi walitumia programu fulani kuongeza matokeo ya Rais Kenyatta na kupunguza matokeo yake.
Amesema anaamini hilo lilifanyika katika kaunti zote na kwamba wagombea wa NASA katika nyadhifa nyingine waliathirika pia.
Odinga, amesema huo ulikuwa "ulaghai wa hali ya juu". Na kwa hesabu zao kutokana na fomu za 34A, NASA imeshinda kwa kura 8.1m dhidi ya 7.2m za Jubilee kwenye upande wa Urais.
Hata hivyo, ametoa wito kwa wafuasi wa muungano huo waendelee kuwa watulivu.
Bw Musyoka amesema anawashauri wafuasi wa muungano huo waendelee na shughuli zao za kawaida, ingawa huenda karibuni wakatakiwa kuchukua hatua.
Bw Odinga na Kalonzo wamekataa kusema ni hatua gani zaidi watachukua na badala yake wakasema wanasubiri kusikia ufafanuzi kutoka kwa IEBC kuhusu yaliyotokea.
![]()
Raila hajakosea katangaza matokeo baada ya tume kutangaza na kasema wazi kuwa matokeo ya vituoni hayalingani na Ya tume wakati seif alitangaza matokeo kabla Ya tume na akaitishia tume mikwala nyau kuwa matokeo yao watakayotangaza lazima yalingane na Ya kwake aliyojumulisha na hawara zake vyumbani. Tume sasa inatakiwa imjibu odinga kwa kuhakiki fomu na matokeo Ya komputa. Sio kesi tume itoe hizo form Kama kashindwa kashindwa cha msingi tume iwe wazi na ijivue lawamaHata Raila Katangaza kushinda kwa kupata kura milioni 8.1.Karudi kulekule kwa Maalim Seif.
Raila hajakosea katangaza matokeo baada ya tume kutangaza na kasema wazi kuwa matokeo ya vituoni hayalingani na Ya tume wakati seif alitangaza matokeo kabla Ya tume na akaitishia tume mikwala nyau kuwa matokeo yao watakayotangaza lazima yalingane na Ya kwake aliyojumulisha na hawara zake vyumbani. Tume sasa inatakiwa imjibu odinga kwa kuhakiki fomu na matokeo Ya komputa. Sio kesi tume itoe hizo form Kama kashindwa kashindwa cha msingi tume iwe wazi na ijivue lawama
Watanzania acheni kuonyesha upumbavu wenu humu. Chaguzi zenu ziikisha mnakuwa wa kwanza kudai Seif kaibiwa, Lowassa kaibiwa, ina maana wizi ni Tanzania tu.!
Kura ya Kenya, baada ya mtambo wa kupokelea matokeo kuzimwa usiku, tume ilianza kupokea matokeo kwa sms! kinyume cha utaratibu na matokeo hayo yanatofautiana na ya vituoni. Ndo chanzo cha mgogoro huo.
Huu mchezo ni kawaida sana ktk nchi hizi za Afrika Mashariki yani matokeo ya tume kutoshabihiana na ya vituoni na hii ndo maana serikali hazitaki katu kuona vyama vya upinzani vikiweka vituo vya kujumlishia matokeo.
Watu wanashindwa kujiuliza ni kwa nn yule mtaalam wa ICT aliuwawa ktk dakika za mwisho. Tatizo lolote litakalojitokeza, tume ya uchaguzi haitakwepa lawama au uwajibikaji. Ukweli uchaguzi umetoa matokeo ambayo sio ya haki....
Farudume kenya syo kama Tanzania mkuu, historia ya kenya haipo kwenye diplomasia bali 'vita'
Kenyata akitumia dola kumlazimisha odinga kukubali matokeo, lawama zitaenda kwa kenyata kwa sababu odinga ameshasema kuwa IEBC iweke hadharani matokeo halisi ya form na. 34A ambayo ipo kisheria pia, sasa kama kweli hayo ni matokeo ya haki si waweke wazi?
Kenyata lazima awe mpole kwa kuwa kifo cha mtaalamu wa ICT wa IEBC kinamtizama..
Sina shida na mshindi, Mshindi ameshajulikana.Mimi sina chama lakini naomba nikusaidie.
Hakuna nchi kusini mwa Jangwa la Sahara ukitoa South Afrika ambayo wapinzani wanafanya kazi kwa uhuru na Amani kama Kenya.Uhuru alijitahidi sana kuionyesha Dunia kwamba waafrika tunaweza kuishi kidemokrasia.
Walikuwa wanaandamana wanavyotaka,wamepiga kampeni wanavyotaka sasa wanalazimisha na ushindi wapewe wanavyotaka.Demokrasia lazima mshindi na mshindwa apatikane kwa kura.
Kama hakubali matokeo atalazimishwa kuyakubali.
ni lini Odinga aligombea Uraisi akakumbali kushindwa..yeye lazima alete chokochoko....najiuliza wao wamejuaje Jubilee wamehack IEBC...Raila s a dying horse
Worry out he will not succeed , people aware of this cheap politics of RAO
Kuanzia Kampeni mpaka uchaguzi uliendeshwa vizuri sana.Wapinzani walijimwaga na kutoa sera zao kwa uhuru kuliko nchi yoyote kusini mwa Jangwa la sahara ukitoa South Africa.
Hilo ni ushahidi tosha kwamba Uhuru ni mwanademokrasia na matokeo haya aliyastahili.
Odinga akubali matokeo ili aendeleze sifa nzuri ya Kenya kimataifa.
ni lini Odinga aligombea Uraisi akakumbali kushindwa..yeye lazima alete chokochoko....najiuliza wao wamejuaje Jubilee wamehack IEBC...Raila s a dying horse
Mimi nashindwaga kuwaelewa hawa waafrika wenzangu kwenye swala la kugombea nafasi za utawala. Hakuna alieshindwa akakubali matokeo ni mpaka atoe visingizio. Huyu Odinga anaesema walidukua matokeo, si angesema mwanzoni ili kabla yaupigaji kura ? Akubaliane tu na matokeo ili hali iendelee kuwa ya amani.
Sent using Jamii Forums mobile app