Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Kwa hiyo unamaanisha sisi Watanzania ni mapunda ati? Chuki zako dhidi ya mtu fulani zisikufanye uwachukie Watanzania wote.Akae pembeni,hawezi kushinda raila..!unazani wakenya ni mapunda kama watz!aende akatulie chato kwa swaiba wake.
Nakusihi upitie posts zote kwa umakini maana bado ni chache, binafsi sijaona mtu anayeshashadia machafuko.Hivi nyie watanzania mnaoshangilia kwamba wenzetu watapigana kwasababu mtu kashindwa, mbona wapinzani wa tanzania waliposhindwa hakukutokea machafuko, kwanini mnashadadia machafuko yawe kwa wenzenu kisa tu kwamba yatakindhi itikadi zenu za kisiasa?!! Smh... mnatia kinyaaaaaa... pathetic!
Matokeo yanayobandikwa kituo husika ndio halali. Kila kituo kikipiga kura huwa kuna fomu Ya kujaza ambapo mawakala wa vyama vyote husaini. Sisi watanzania uchaguzi uliopita tungekubali mashine za komputa lowasa angeshinda kwani mashine Ya kuchakachua matokea ilifungwa na timu lowasa nchi ya khazakistan .yalipotumika matokeo ya fomu za vituoni hakukuwa na wizi wa kura. Lowasa alipiga kelele kuwa kaibiwa kura akiulizwa umeibiwa kituo kipi anatoa macho tu. Tume ya uchaguzi isiitumbukize Kenya kwenye tatizo lolote itoe matokeo ya vituoni. Tanzania hatutaki wakimbizi wa Kenya tumechoka kupokea wakimbizi wa nchi zinazotuzunguka. Lowasa Kama kawaletea uhuni aliotaka kufanya Tanzania.wakenya mtaingia matatizoni kura na fomu za matokeo za vituoni zilizosainiwa na vyama vyote ndio zitumike kujumlisha matokeo na ziwe scanned au zitumwe kwa faxAkizungumza na waandishi wa habari asubuhi ya leo , mgombea huyo amepinga matokeo hayo ya awali yaliyotolewa na Tume ya Uchaguzi IEBC yanayoonyesha kuwa Kenyatta anaongoza wakiwa wametofautiana kwa kura zaidi ya milioni 1.3.
"Tunayakataa matokeo haya yaliyofikia sasa kwa kuwa siyo sahihi, ni mashine iliyopiga kura hizi na siyo wananchi wa Kenya", amesema Odinga.
Matokeo yanayobandikwa kituo husika ndio halali. Kila kituo kikipiga kura huwa kuna fomu Ya kujaza ambapo mawakala wa vyama vyote husaini. Sisi watanzania uchaguzi uliopita tungekubali mashine za komputa lowasa angeshinda kwani mashine Ya kuchakachua matokea ilifungwa na timu lowasa nchi ya khazakistan .yalipotumika matokeo ya fomu za vituoni hakukuwa na wizi wa kura. Lowasa alipiga kelele kuwa kaibiwa kura akiulizwa umeibiwa kituo kipi anatoa macho tu. Tume ya uchaguzi isiitumbukize Kenya kwenye tatizo lolote itoe matokeo ya vituoni. Tanzania hatutaki wakimbizi wa Kenya tumechoka kupokea wakimbizi wa nchi zinazotuzunguka. Lowasa Kama kawaletea uhuni aliotaka kufanya Tanzania.wakenya mtaingia matatizoni kura na fomu za matokeo za vituoni zilizosainiwa na vyama vyote ndio zitumike kujumlisha matokeo na ziwe scanned au zitumwe kwa fax
Wakuu - wasalaamu.
Kwanza nianze kukili kwamba mi ni mfuasi wa Kenyata tangu mwanza.
Japo kuwa Rafiki yangu JPM ni rafiki wa Raila Ondinga ila hapo tunatofautiana kidogo.
Swali langu ni kwa UKAWA na Wanaharakati wa TZ - Je anachofanyiwa Ondinga ni sawa? Wanayakubari matokeo?
Wenye majibu karibuni.
Pove ruksa.
they fight...aiii why wish them fight wakati hata matokea rasmi kutoka IEBC bado...hizi zinaonyesha ni provision sasa wakipokea na ku compare na hizo form ndio mambo yatakua wazi wazi....Nasa mawakala wao wamewaangusha chaliiiii....Hii issue ilikuwa wazi, Odinga atashinda ila figisufigisu za IEBC na KERU wametengeneza genge lao la kuibia kura hadi wakamtoa roho Mr. Msando.
Any way, I am already packed everything to come in Kenya for a diplomatic mediation.
Don't worry guys you just fight.
Seif awe anayo au Alikuwa nayo sikatai ni haki yake kiherehere chake cha kutangaza kabla Ya tume ndio kilimgharimu alitakiwa awe na matokeo tume ikitangaza analinganisha anasema kituo hiki hayako sawa sasa yeye alitangaza kabla akataka tume ndio ilinganishe na matokea yake aliyojumulisha vyumbani na hawara zake. Kenya odinga anacholalamika ni kuwa tume inatangaza matokeo wakati form zile Za matokeo za vituoni hazipo !!!!!!!! Tume ina base wapi?Unaongea kama una undugu na Maalim Seif.
Yeye kakusanya matokeo yote ya vituoni na anatembea nayo kwenye kwapa lakini imebaki story.
Uhuru ndio Rais mteule wa Kenya.Huyo Raila anatapatapa tu lakini atayazoea hayo matokeo kadri muda unavyopita.