Odinga apinga matokeo, adai ni matokeo ya mashine sio Wakenya


Hata Raila Katangaza kushinda kwa kupata kura milioni 8.1.Karudi kulekule kwa Maalim Seif.
Kwa Demokrasia aliyoionyesha Kenyata naamini kabisa kwamba Raila kashindwa kihalali.
Ninachojua ni kwamba Kenyata ana nguvu zote za kumlazimisha Raila akubali matokeo ila anaendelea kuonyesha jinsi gani alivyokomaa kidemokrasia.
Namsihi Raila akubali matokeo kabla hajalazimishwa kuyakubali na kupelekwa THE HEGUE.
 
Ni vigumu sana Ku prove kwamba system imekuwa hacked. Cha kujiuliza, yeye amejuaje? Na kama ana uthibitisho ameupataje? The only possibility ni kwamba alikuwa na illegal access yeye pia, ndio akafanikiwa kuprint hizo taarifa kitaalam wanaita audit trails.

The only u can print the audit trails ni kama ukiwa na access ya systems. Unless walikuwa na replica database ambayo ilikuwa ina replicate na database ya IEBC. If that was the case, this was also illegal
 
Hata Raila Katangaza kushinda kwa kupata kura milioni 8.1.Karudi kulekule kwa Maalim Seif.
Raila hajakosea katangaza matokeo baada ya tume kutangaza na kasema wazi kuwa matokeo ya vituoni hayalingani na Ya tume wakati seif alitangaza matokeo kabla Ya tume na akaitishia tume mikwala nyau kuwa matokeo yao watakayotangaza lazima yalingane na Ya kwake aliyojumulisha na hawara zake vyumbani. Tume sasa inatakiwa imjibu odinga kwa kuhakiki fomu na matokeo Ya komputa. Sio kesi tume itoe hizo form Kama kashindwa kashindwa cha msingi tume iwe wazi na ijivue lawama
 
Watanzania acheni kuonyesha upumbavu wenu humu. Chaguzi zenu ziikisha mnakuwa wa kwanza kudai Seif kaibiwa, Lowassa kaibiwa, ina maana wizi ni Tanzania tu.!

Kura ya Kenya, baada ya mtambo wa kupokelea matokeo kuzimwa usiku, tume ilianza kupokea matokeo kwa sms! kinyume cha utaratibu na matokeo hayo yanatofautiana na ya vituoni. Ndo chanzo cha mgogoro huo.

Huu mchezo ni kawaida sana ktk nchi hizi za Afrika Mashariki yani matokeo ya tume kutoshabihiana na ya vituoni na hii ndo maana serikali hazitaki katu kuona vyama vya upinzani vikiweka vituo vya kujumlishia matokeo.

Watu wanashindwa kujiuliza ni kwa nn yule mtaalam wa ICT aliuwawa ktk dakika za mwisho. Tatizo lolote litakalojitokeza, tume ya uchaguzi haitakwepa lawama au uwajibikaji. Ukweli uchaguzi umetoa matokeo ambayo sio ya haki....
 

Nashauri Raila akubali matokeo.Akiendelea kupinga atalazimishwa kuyakubali.Pamoja na kwamba Kenyata ameonyesha ni mwana demokrasia lakini akumbuke hii ni Afrika na Kenyatta bado ni Rais.
Afrika Rais anaweza kuamua chochote na kikawezekana.
Kwa sasa ni rahisi kwa Sungura kummeza Tembo kuliko Raila kutangazwa mshindi.Mpaka sasa wafuasi wawili wa Raila wameshachapwa Risasi na kufa.Asicheze na taasisi ya Urais.
 
KAMA KWELI HAO IEBC WANAJIAMINI BASI WAWEKE HIZO FORM ZA 34A HADHARANI KUEPUKA LAWAMA, VINGNEVYO [HASHTAG]#RAILAODINGA[/HASHTAG] YUKO SAHIHI..
 

Kenyata alionyesha kiwango cha juu sana cha Demokrasia ndio maana anatetewa na watu wengi.
 
Farudume kenya syo kama Tanzania mkuu, historia ya kenya haipo kwenye diplomasia bali 'vita'

Kenyata akitumia dola kumlazimisha odinga kukubali matokeo, lawama zitaenda kwa kenyata kwa sababu odinga ameshasema kuwa IEBC iweke hadharani matokeo halisi ya form na. 34A ambayo ipo kisheria pia, sasa kama kweli hayo ni matokeo ya haki si waweke wazi?

Kenyata lazima awe mpole kwa kuwa kifo cha mtaalamu wa ICT wa IEBC kinamtizama..
 

Hizo Form zitawekwa na bado Kenyata atakuwa mshindi.
Kama kweli ameweza kucheza na system sioni jinsi gani atashindwa kucheza na hizo form na.34A.
Kenyata keshakuwa Rais wa awamu hii ila napenda jinsi wakenya mnavyojitahidi kufanya uchaguzi uwe huru na haki.Kwa kweli mpo juu sana na nina imani baada ya miaka michache nchi nyingi za Afrika watakuja kwenu kujifunza jinsi ya kuendesha Chaguzi kidemokrasia.
 
Sina shida na mshindi, Mshindi ameshajulikana.
Je hatua zinazofanyika ili kutangaza matokeo bila kuzingatia Sheria na taratibu UKAWA wanazikubali?
 
chadema wanadai Kenya kuna demokrasia ila procedure za kutangaza matokeo ukweli zinatia Mashaka! je hii demokrasia ya kuelekezwa kibra kweli ni demokrasia tunayoiamini wote? naamini hili ni kosa la pili kubwa la chadema kutoka kwa chanzo kilekile
 
ni lini Odinga aligombea Uraisi akakumbali kushindwa..yeye lazima alete chokochoko....najiuliza wao wamejuaje Jubilee wamehack IEBC...Raila s a dying horse

Prove it. Let IEBC prove that what they presented tallies with the forms. Until then, you have no right to accuse Raila, unless of course you are a Kikuyu or Kalenjin
 
Worry out he will not succeed , people aware of this cheap politics of RAO

Kura zimeibwa au la? Jibu kwanza kabla ya kufikiria kumdhibiti Odinga. Facts nipe. Zangu nasubiria matching of already announced results with the forms
 

Odinga hatawahi kukubali kushindwa na alisema mara nyingi kwa kampeni zake "the only way for Jubilee to win is through rigging" .Kwahivyo haya mambo inayoona hayakuanza jana sababu Odinga alikuwa amechochea tayari.
 


Hata Trump alisema asiposhinda USA patachimbika wala siyo waafrika peke yao.

Ni kawaida sana ukiona hukutendewa haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…