Exactly my point, they cannot compare like for like because it would bring a different realityNot true. The photos present different views. Consequently, the reality is misconfigured.
Pingli nywee usijari President Uhuru Kenyatta ni kiongozi mzuri uki compare na Raila Odinga. Ila aache Mambo ya kutaka kumpa Ruto urais 2022 let the Kenya decideSitaki kuonekana kana kwamba nina chuki ila kwa vitendo vya Raila vya hivi karibuni. Nimeanza kushuku kwamba ni kweli wanavosema wengi, kwamba ule ugonjwa wa uzeeni, wa akili, yaani dementia, umeanza kubisha hodi kwa mzee RAO.
Kama unaelewa siasa za Kenya utajua anachotaka kufanya rais U.K si kumpa Ruto urais. Anachofanya ni kumpa Ruto nafasi ya kuwa mgombea urais kwenye chama cha Jubilee. Kwenye urais ni wakenya wataamua. Rais Kenyatta anachofanya ni kutimiza ahadi yake tu. Kwenye makubaliano yake na Ruto chini ya mkataba ulounganisha chama cha Ruto URP na chama cha rais Kenyatta TNA ndio ikawa Jubilee.Pingli nywee usijari President Uhuru Kenyatta ni kiongozi mzuri uki compare na Raila Odinga. Ila aache Mambo ya kutaka kumpa Ruto urais 2022 let the Kenya decide
Vipi nasikia na Gideon Moi naye anataka what's your opinionKama unaelewa siasa za Kenya utajua anachotaka kufanya rais U.K si kumpa Ruto urais. Anachofanya ni kumpa Ruto nafasi ya kuwa mgombea urais kwenye chama cha Jubilee. Kwenye urais ni wakenya wataamua. Rais Kenyatta anachofanya ni kutimiza ahadi yake tu. Kwenye makubaliano yake na Ruto chini ya mkataba ulounganisha chama cha Ruto URP na chama cha rais Kenyatta TNA ndio ikawa Jubilee.
Sawa tu. Ila awe tayari kupambana na William Ruto. Gideon Moi hana 'national appeal' kama Ruto. Wala hajui kujichanganya na wananchi wa kawaida kama Uhuruto. Kwa wananchi wa kawaida ni tajiri flani tu anayependa kucheza ule mchezo wa matajiri na farasi, Polo.Vipi nasikia na Gideon Moi naye anataka what's your opinion