Odinga ataka uchaguzi mwingine tena Agosti mwaka huu

Odinga ataka uchaguzi mwingine tena Agosti mwaka huu

Kamata huyo mtu toa hilo govi then akili itarudi level.
 
2415701f07253080bf83b8838fe5432b.jpg
 
Not true. The photos present different views. Consequently, the reality is misconfigured.
Exactly my point, they cannot compare like for like because it would bring a different reality
 
Alinogewa kuishika tu biblia wakati anajiapisha[emoji3]hadi kujuta kwann aliususia uchaguzi[emoji3]
Je angeishika nchi sasa[emoji3]
Kiapo tu kimemnogea[emoji3]
Pr Uhuru big up,,,!!!!
Jamaa alitegemea kutamwagika damu Kenya siku ya kiapo chake, lkn Pr Uhuru aliwatuliza maaskari pamoja na jeshi
Leo Odinga kashajiona Faala kumbe mamtu yalikua yakimui enjoy[emoji1321]
 
Huyu jamaa naona anazidi kurukwa na akili!!!! Sasa alijiapisha ili iweje kama bado anaomba uchaguzi!!!?
 
Anatafuta vita vya kikabila huyo huko kenya sio bure
 
Sitaki kuonekana kana kwamba nina chuki ila kwa vitendo vya Raila vya hivi karibuni. Nimeanza kushuku kwamba ni kweli wanavosema wengi, kwamba ule ugonjwa wa uzeeni, wa akili, yaani dementia, umeanza kubisha hodi kwa mzee RAO.
Pingli nywee usijari President Uhuru Kenyatta ni kiongozi mzuri uki compare na Raila Odinga. Ila aache Mambo ya kutaka kumpa Ruto urais 2022 let the Kenya decide
 
Pingli nywee usijari President Uhuru Kenyatta ni kiongozi mzuri uki compare na Raila Odinga. Ila aache Mambo ya kutaka kumpa Ruto urais 2022 let the Kenya decide
Kama unaelewa siasa za Kenya utajua anachotaka kufanya rais U.K si kumpa Ruto urais. Anachofanya ni kumpa Ruto nafasi ya kuwa mgombea urais kwenye chama cha Jubilee. Kwenye urais ni wakenya wataamua. Rais Kenyatta anachofanya ni kutimiza ahadi yake tu. Kwenye makubaliano yake na Ruto chini ya mkataba ulounganisha chama cha Ruto URP na chama cha rais Kenyatta TNA ndio ikawa Jubilee.
 
"Ametaka kufanyika uchaguzi" nilidhani angesema "nitaitisha uchaguzi"
 
Kama unaelewa siasa za Kenya utajua anachotaka kufanya rais U.K si kumpa Ruto urais. Anachofanya ni kumpa Ruto nafasi ya kuwa mgombea urais kwenye chama cha Jubilee. Kwenye urais ni wakenya wataamua. Rais Kenyatta anachofanya ni kutimiza ahadi yake tu. Kwenye makubaliano yake na Ruto chini ya mkataba ulounganisha chama cha Ruto URP na chama cha rais Kenyatta TNA ndio ikawa Jubilee.
Vipi nasikia na Gideon Moi naye anataka what's your opinion
 
Si kaapishwa juzi huyu? Sasa uchaguzi mwingine wa nini?
 
Vipi nasikia na Gideon Moi naye anataka what's your opinion
Sawa tu. Ila awe tayari kupambana na William Ruto. Gideon Moi hana 'national appeal' kama Ruto. Wala hajui kujichanganya na wananchi wa kawaida kama Uhuruto. Kwa wananchi wa kawaida ni tajiri flani tu anayependa kucheza ule mchezo wa matajiri na farasi, Polo.
 
Sasa yeye no rais was watu Kenya anataka uchaguzi was nnn tena
 
Back
Top Bottom