Odinga going to win the election in Kenya

Odinga going to win the election in Kenya

Raila Odinga akishinda urais nitatembea uchi kutoka Dar mpaka Kigoma
Odinga yuko kwa siasa miaka 20.Haya ,chukua tarahe ya uchaguzi tarehe 8 mwezi wa 8 .So miaka ishirini toa nane halafu toa nane ingine umesalia na 4.....inamaana kwamba Odinga atashindwa kwa mara ya 4 tena.
 
Mbona hujaweka sababu za msingi kutetea hoja yako
Odinga hana imani na IEBC ,hana imani na walinda usalama,hataki kuona wabunge wa chama chake wakifanya kazi na Jubilee kuleta maendeleo ,siasa zake ni za 24/7 hakuna wakati wa nation building na akiambiwa aende kutoa ushahidi wa rushwa anasema "siendi sababu that's a very junior officer " to me.

Sasa Numbisa ,twambie mtu kama huyu odinga ni mtu wa kuaminika apewe madaraka makubwa ya urais? We can't be changing katiba kila wakati sababu ya mtu mmoja,kubadili maafisa wa IEBC sababu ya mtu mmoja,delegitimizing the constitution (maafisa wa IEBC hawakutolewa kihalali) na kusimamisha miradi sababu haifai siasa za mtu mmoja aneyejipenda sana sana.
 
Odinga yuko kwa siasa miaka 20.Haya ,chukua tarahe ya uchaguzi tarehe 8 mwezi wa 8 .So miaka ishirini toa nane halafu toa nane ingine umesalia na 4.....inamaana kwamba Odinga atashindwa kwa mara ya 4 tena.

Definately. Defeat for Odinga is just a foregone conclusion.
 
Kenya bhana kuna ukabila uliokithiri kila kabila lina studio ya redio ya kilugha
 
Back
Top Bottom