IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
...Kuna ubaya kuota ndoto? Ukiwasikiliza wale mawakili wa NASA, hasa yule mhindi, kuhusu kutoonekana kwa baadhi ya forms za matokeo unaelewa kwamba the forms were tempered...Wewe unaota ndoto tu huu upuzi has never been proven.Supreme court haikusema Odinga ameibiwa ama Uhuru ameiba kura - hitilafu ilikuwa ni mitambo na utendaji kinyume cha katiba kwa IEBC.
Sent using Jamii Forums mobile app