Odinga: Tutapambana nanyi na hatutachoka wala kulala hadi mpate adhabu yenu

Wewe unaota ndoto tu huu upuzi has never been proven.Supreme court haikusema Odinga ameibiwa ama Uhuru ameiba kura - hitilafu ilikuwa ni mitambo na utendaji kinyume cha katiba kwa IEBC.
...Kuna ubaya kuota ndoto? Ukiwasikiliza wale mawakili wa NASA, hasa yule mhindi, kuhusu kutoonekana kwa baadhi ya forms za matokeo unaelewa kwamba the forms were tempered...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkitaka kua na uhakika wa kura zenu wakati wakupiga kura hakikisheni yule jamaa haingii huko kwenu Kenya..
Vingenevyo huyo mzee wa mamvi akitia timu yake tu huko Kenya wakati mnahesabu kura hapo lazma mtachakachuliwa[emoji2] ni bingwa wa kuhesabu kura zilizopigwa kwa computer
Huku kwetu walijisahau kidoooogo visiwani wakajikuta waliondikishwa watu laki na nusu kura zimepigwa laki3
Hapo CCM ndio ikaona bora ngoma irudiwe tena ipigwe kura mkono kwa mkono[emoji2]

Sent from Calculator Phone vesion007
 


Asanti sana nimelewa vizuri sana.
 
kama mnajua ni Uhuru aliua Mr Chris pelekeni ushahidi sehemu husika au kama kawaida uleteni kwa wananchi hadharani wao ndio waamue...kulalamika humu hakuwasaidii...mngejitahidi kuuza sera zenu ili mshawishi wapiga kura na sio umbea...
 
kama mnajua ni Uhuru aliua Mr Chris pelekeni ushahidi sehemu husika au kama kawaida uleteni kwa wananchi hadharani wao ndio waamue...kulalamika humu hakuwasaidii...mngejitahidi kuuza sera zenu ili mshawishi wapiga kura na sio umbea...
Hawa jamaa walitumia kifo cha Cris Musando kama kifaa cha kuwataftia kura hata kabla hajazikwa! Kwenye mazishi yake ilikuwa aibu kubwa! Mavampire! Usistuke ukija kusikia baadaye kuwa hao ndo walimuua, yaani wanajua mengi sana kuhusu kifo cha Cris Musando! Hawataki kuandikisha statement kwa polisi kuhusu kifo chake! Kwanini?
 
ndio nashangaa babu maana hakuna mkutano Chris hatajwi na Chris hatawapa kura maana walala hoi wengine hukooo nje ya miji hata hawamjui wao wanataka umeme,maji,hospitali,shule,dawa hospitalini n.k sio bla bla za waliokufa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…