Ofa kwa wanaotaka kufungua kampuni na wanaomiliki kampuni au biashara ya aina yoyote

Ofa kwa wanaotaka kufungua kampuni na wanaomiliki kampuni au biashara ya aina yoyote

Joined
May 22, 2017
Posts
51
Reaction score
21
Kampuni ya Moms Consulting imeamua kurudisha kwenye jamii kwa kutoa ofa eneo la usajili wa makampuni na biashara(Company and Business name registration) na Ushauri wa kodi(Tax consultancy),kuanzia 22-02-2025 hadi 31-03-2025 kwa kuzingatia vigezo na mashariti ya ofa kama ifutavyo:

1.Kwa wateja wa huduma ya kusajili kampuni watapewa ofa za:
✅ Huduma ya bure ushauri wa kodi kwa kipindi cha miezi miwili (2)kuanzia pale usajili wa BRELA na TRA utakavyokamilika
✅Huduma ya bure uwasilishaji wa ritani za kikodi TRA (Tax return) kwa kipindi cha miezi miwili (2),kuanzia pale usajili wa kupata Cheti cha mlipakodi (TIN Certificate) utakapokamilika.
✅ Vilevile atapata ushauri wa bure wa kiuhasibu (Accounting) pamoja na mambo ya kufuata na kuziangatia kipindi chote cha biashara (Business requirements and compliances) kwa kipindi cha miezi miwili (2) kuanzia pale usajili wa BRELA na TRA utakapokamilika

2.Kwa wateja ambao kampuni au biashara zao tayari zimesajiliwa na wapo kwenye biashara kwa kipindi fulani au muda fulani pia kwa hawa tuna ofa za:
✅ Huduma ya bure ushauri wa kodi kwa kipindi cha miezi miwili (2) kuanzia tarehe ya chapisho la andiko hili.
✅ Huduma ya uwasilishaji wa ritani za kikodi (Tax returns) kwa gharama nafuu kwa muda wa miezi sita (6)
✅ Mteja atapata ushauri wa bure wa kiuhasibu (Accounting) pamoja na mambo ya kufuata na kuziangatia kipindi chote cha biashara (Business requirements and compliances) kwa kipindi cha miezi miwili (2) kuanzia tarehe ya chapisho la andiko hili.
✅ Vilevile mteja atapata huduma ya kuandaliwa hesabu za biashara (Financial statements) na huduma za kiukaguzi (Auditing of Financial statements) kwa kipindi hiki maususi kwa mujibu wa sheria inahitajika kuandaliwa hesabu za biashara za mwaka wa mapato uliyoisha 31-12-2024 ambapo hesabu zinatakiwa kuwasilishwa TRA kwa kipindi chochote kwa sasa kisichovuka 30/06/2025.

Kwa ushauri zaidi kuhusu huduma zetu wasiliana nasi kupitia:
Simu:0712685025/0783262125
Barua Pepe:
momsconsultingltd@gmail.com

#Miongozo #kitaalamu #ukuaji #usalama #mafanikio #biashara#Momsconsulting
#Consultant_Silwano
 
Mkuu hiyo nafasi ya kuandaliwa hesabu nayo mnafanya bure?
Pia hapo kwenye kutuma ritani unasema mnafanya kwa gharama nafuu, hiyo nafuu ndio inakua sh ngapi?
 
Mkuu hiyo nafasi ya kuandaliwa hesabu nayo mnafanya bure?
Pia hapo kwenye kutuma ritani unasema mnafanya kwa gharama nafuu, hiyo nafuu ndio inakua sh ngapi?
Sio bure mkuu nafikiri haujasoma vizuri andiko hili limemaanisha kutakuwa na unafuu kulingana huduma husika Ila kutakuwa complement ya huduma za bure kabisa mfano kushauriwa maeneo ya kodi na Uhasibu bila malipo
Ritani zitakuwa na unafuu kwa maana kwenye gharama zetu kwa kipindi hiki cha ofa tumeshusha kwa 40% kama utahitaji ushauri zaidi usisite Kutupigia au kututumia ujumbe WhatsApp kwenye namba zetu 0712685025 au 0784262125
 
Hiyo 40% ndio bei gani mkuu? Unaweza kupata wengi zaidi kwa kujibu hapa
 
Hiyo 40% ndio bei gani mkuu? Unaweza kupata wengi zaidi kwa kujibu hapa
Mfano makampuni madogo(Tunayapima kwa transactions and investments level yaani Turnover, Expenses and assets) ofisi yetu inatoa huduma ya kuwasilisha ritani za kodi(Tax returns): SDL,PAYE na VAT ritani kwa kila mwezi kwa Tsh 100,000/= but Katika kipindi hiki cha ofa tumefanya punguzo kufikia 60,000/= yaani tumefanya punguzo la 40,000/= sawa na 40%
 
Back
Top Bottom