OFA OFA OFA KARIBUNI WANA JF MJIPATE OFA YA HOMETHIETR AINA YA SONY

OFA OFA OFA KARIBUNI WANA JF MJIPATE OFA YA HOMETHIETR AINA YA SONY

Frankdaniel711

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2018
Posts
366
Reaction score
140
Habari njema sana kwa wana jf; karibuni mjipatie homethietr aina ya Sony yenye spika 5 pamoja na deki yake, ILIKUWA INAUZWA LAKI 390,000 LAKINI MTEJA WETU TUNAKUPATIA KWA BEI YA LAKI 350,000 UKIWA DAR ES SALAAM TUNAKULETEA KWAKO MIKOANI TUNATUMA. NJOO DUKANI KWETU KARIAKOOO MTAA WA NDANDA sifa zake; ni 300w, inatumia deki kwa jili ya DVD na CD pia Bluetooth flash memory card, HDMI NA RIMONT INATUMIA KWA MAWASILIANO PIGA,; 0677423349, FACEBOOK PAGE; BIDHAA ZETU LEO, WHATSAPP 0677423349 ASANTEN WANA JF NI HAYO TU KWA LEO #MUNGUawabariki
 
Attachments

  • IMG-20190719-WA0002.jpeg
    IMG-20190719-WA0002.jpeg
    13.5 KB · Views: 51
M
nipe elimu ya utofauti kati ya subwoofer na hiyo hometheatre maana sijawahi ielewa ingawa nina mpango wa kununua nione ina kitu gani cha ziada.
Hahahaha kwakweli nimefurahi kwa swali lako Ila nakujibu kwa mfano huu; najuwa kuna aina mbalimbali za simu Ila Mimi nataka nikujuze kwa upande Wa simu za tochi na smartphone, zote ni simu lakin uwezo wake ni tofauti ndivyo ilivyo kwa upande Wa subwoofer na hometheater, kunawateja wanaopenda mziki Wa kawaida pamoja na mdundo mkubwa na kuna wale wanaopenda mziki mkubwa wanasema mziki mnene na spika zenye twitter nyingi na mdundo Wa kutosha ivyo basi uwezo Wa subwoofer nikama mfano Wa simu za tochi na hometheater nikama mfano Wa smartphone utakuwa umenielewa kama kuna wengine watakuwa wanachangia basis utajua zaid Ila Mimi nafahamu kwa ivyo
 
Ahaaaa kumbe Frankdaniel711 sasa mimi ninataka kufungua mgahawa wa kati na wa kisasa kwa miezi ya hapo mbeleni ndo nikawa nawaza kununua hii kitu niwaburudishe wateja wangu kwa sauti tamu ya mziki,fikiri ni mgahawa wa meza kumi na viti 40 vya wateja,at least hometheatre ya ukubwa gani itanifaa na ya bei gani na kampuni gani ni imara? nitashukuru kwa majibu,
 
Woooow hongera kwa ilo MUNGU akusaidie ufungue; kwa mgahawa ungechukua spika zile za ukumbini kwa sisi tunauza LAKI 450 sipika 2 zinatumia flash,memory card, Bluetooth kwa hometheater chukua hii nilio ipost hapa
 
Frankdaniel711 kwahiyo unanishauri nichukue hizo spika kuliko hometheatre? mziki utakaokuwa unatoka hapo utakuwa umechujwa kweli,manake mm kiu yangu ni kwenye quality ya mziki.
 
weka picha halisi sio hiyo ya mtandaoni......
 
Wewe yako ya ni halisi, toa kibanzi jichoni kwako kwanza na usiwe unapenda kuonekana na wewe umeconment ukitaka iyo homethieatr piga simu uletewe ukiona unataka kuja dukani kwetu basi karibu sana sisi tupo kariakoo mtaa Wa ndanda ukifika tu unapiga simu tunakufata kituoni unataka mini tena kwa kuisema ni bora iwe ivyo kuliko vya halisi. Sina muda Wa kaadukani sana na kupiga picha ndio mana kuna kitu kinaitwa sample kama unataka iyo homethieatr .njooo dukani utaki basi acha kupotocha wenzako wanao itaji SORRY

inaongelewa picha ya bidhaa sio avatar ya profile yako, mna soundbars? Za aina ipi na bei ipoje?
 
hahaha sorry kama nimekukwaza,,ulishawahi soma hii kabla https://www.jamiiforums.com/threads/mwongozo-zingatia-haya-unapoweka-tangazo-lako.1357521/

sasa kama hauna muda wa kupiga picha,uko serious kweli?
tafuta hata mpiga picha akupigie hizo bidhaa,,utawakosa wateja wengi kwa kutokuweka picha halisi ya bidhaa
Ndugu wadau wa Jukwaa la Matangazo Madogo,

Tunafarijika kuona mnaendelea kutumia vizuri jukwaa hili katika kufanya biashara.

Hata hivyo, kuna changamoto kwa baadhi ya wenzetu kushindwa kuzingatia vigezo vya kuweka matangazo yao hivyo kupelekea matangazo yao kuondolewa hewani.

Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
  1. Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
  2. Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
  3. Taja bei
  4. Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.
  5. Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
  6. Usiweke tangazo moja mara nyingi.
Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.

Kuna baadhi ya matangazo hayaruhusiwi kabisa JamiiForums. Mfano matangazo ya kurasa za Blogs, Facebook, Instagram, Twitter au mtandao wowote yataondolewa mara moja.

Karibuni kwa maswali na ufafanuzi zaidi..
 
Nna redio Kama hiyo inanisumbua sana kwenye upande wa flashi,nimenunua flash Toshiba na San disc hazosomi zote nimeingia hasara kurudisha dukani haiwezekani, msaada wako ndugu
 
Nna redio Kama hiyo inanisumbua sana kwenye upande wa flashi,nimenunua flash Toshiba na San disc hazosomi zote nimeingia hasara kurudisha dukani haiwezekani, msaada wako ndugu
Umenunua bado ina warranty mpaka sasa,uko wapi kwani
 
inaongelewa picha ya bidhaa sio avatar ya profile yako, mna soundbars? Za aina ipi na bei ipoje?
Zipo soundbar kampuni zote we unataka kampuni gani bei laki 650 njo WhatsApp au kwenye page yetu ya BIDHAA ZETU LEO TUTUMIE SMS
 
Back
Top Bottom