OFA OFA OFA KARIBUNI WANA JF MJIPATE OFA YA HOMETHIETR AINA YA SONY

Umenunua bado ina warranty mpaka sasa,uko wapi kwani
Ina warranty nipo mwanza nimeiagiza kutoka dar es salaam alieniagizia alitest kila kitu dukani na flash ilikua inafanya kazi imefika huku naweka flash haifanyi kazi sijui tatizo ni nini,au zinachagua flash,kwasasa naunga waya karedio kadogo naweka memory kwenye radio inaplay
 
M
Hahahaha kwakweli nimefurahi kwa swali lako Ila nakujibu kwa mfano huu; najuwa kuna aina mbalimbali za simu Ila Mimi nataka nikujuze kwa upande Wa simu za tochi na smartphone, zote ni simu lakin uwezo wake ni tofauti ndivyo ilivyo kwa upande Wa subwoofer na hometheater, kunawateja wanaopenda mziki Wa kawaida pamoja na mdundo mkubwa na kuna wale wanaopenda mziki mkubwa wanasema mziki mnene na spika zenye twitter nyingi na mdundo Wa kutosha ivyo basi uwezo Wa subwoofer nikama mfano Wa simu za tochi na hometheater nikama mfano Wa smartphone utakuwa umenielewa kama kuna wengine watakuwa wanachangia basis utajua zaid Ila Mimi nafahamu kwa ivyo
USHAURI: Unapoamua kufanya biashara ni vyema ukaijua vizuri bidhaa unayoiuza na hata kama ukiwa hujaijua ni vyema usiwe na haraka ya kujibu na hata kama utakuwa na haraka ya kujibu ni vyema ukahakiki jibu lako kabla hujajibu.
 
Habari njema sana kwa wana jf; karibuni mjipatie homethietr aina ya Sony yenye spika 5 pamoja na deki yake, ILIKUWA INAUZWA LAKI 390,000 LAKINI MTEJA WETU TUNAKUPATIA KWA BEI YA LAKI 350,000 UKIWA DAR ES SALAAM TUNAKULETEA KWAKO MIKOANI TUNATUMA. NJOO DUKANI KWETU KARIAKOOO MTAA WA NDANDA sifa zake; ni 300w, inatumia deki kwa jili ya DVD na CD pia Bluetooth flash memory card, HDMI NA RIMONT INATUMIA KWA MAWASILIANO PIGA,; 0677423349, FACEBOOK PAGE; BIDHAA ZETU LEO, WHATSAPP 0677423349 ASANTEN WANA JF NI HAYO TU KWA LEO #MUNGUawabariki
Mm ninataka deck tupu mkuu vp nitalipata??
 
Ivi wewe Mimi kutuma iyo picha ya Sony roho imekuuma sana umeona nafaidi uza wewe basi ulizke
Huoni unatudanganya kwenye tangazo umesema Sony halafu hiyo picha uliyoweka ni LG.............
 
Ina warranty nipo mwanza nimeiagiza kutoka dar es salaam alieniagizia alitest kila kitu dukani na flash ilikua inafanya kazi imefika huku naweka flash haifanyi kazi sijui tatizo ni nini,au zinachagua flash,kwasasa naunga waya karedio kadogo naweka memory kwenye radio inaplay
Pole sana ungenunua kwetu ungebadilishiwa
 
Mjibu wewe unae juwa kujibu Mimi sijui
USHAURI: Unapoamua kufanya biashara ni vyema ukaijua vizuri bidhaa unayoiuza na hata kama ukiwa hujaijua ni vyema usiwe na haraka ya kujibu na hata kama utakuwa na haraka ya kujibu ni vyema ukahakiki jibu lako kabla hujajibu.
 
Mjibu wewe unae juwa kujibu Mimi sijui
Kwa nini unaharaka ya kujibu bro? sijasema mimi najua kujibu wala sijakwambia wewe hujui kujibu, Jibu lako linaweza likawa la kiungwana ila lisikate kiu ya muuliza swali kwa maana hivyo ni vyema kulifahamu swali kabla hujaamua kutoa jibu
 
Ina warranty nipo mwanza nimeiagiza kutoka dar es salaam alieniagizia alitest kila kitu dukani na flash ilikua inafanya kazi imefika huku naweka flash haifanyi kazi sijui tatizo ni nini,au zinachagua flash,kwasasa naunga waya karedio kadogo naweka memory kwenye radio inaplay

Check inaweza kuwa issue ya formatting ya Flash Disk/Memory Cards unazotumia.

Namaanisha vifaa kama radio, TV, Theatres zinasoma Flash zilizokua formatted kwa FAT or FAT32.

Bahati mbaya siku hizi Windows inatumia NTFS kama default formatting system.

Cha kufanya:
Chukua flash yako, chomeka kwa computer, kisha right click, Format. Kwenye format options chagua FILE SYSTEM kutoka NTFS iwe FAT.

Then ikimaliza, weka miziki yako kwenye flash. Mwisho chomeka sasa hiyo Flash kwenye mziki wako, uone kama itakubali.

Ulishajaribu kufanya hivo ikagoma?
Kama bado jaribu. Kama tayari basi tatizo ni la mziki wenyewe.
 
Kwa nini unaharaka ya kujibu bro? sijasema mimi najua kujibu wala sijakwambia wewe hujui kujibu, Jibu lako linaweza likawa la kiungwana ila lisikate kiu ya muuliza swali kwa maana hivyo ni vyema kulifahamu swali kabla hujaamua kutoa jibu
Nimemtofautishia nime sema kwamfano ili ajuwe tu kwa kidogo yeye kasema haelew chochote kuhusu iyo tofauti sasa ulitaka nimtajie na vitu asivyo vijuwa ata vinaitwaje kwanza nimesha ongea nae kwanini watu wa jf mnakuza mambo kitu kidogo kiwe kikubwa kwani we shida yako nini na alie uliza swali kashaelewa japo kwa mfano tu mengine msipende kuyakuza sio vizur uku jf hata mtu uwe mpole kiasi gani na wateja lakin kunawatu watakuchokoza mpaka mtu uonge vibaya ili tu kuonekana hatujui kuongea na wateja biashara sio yako
 
Check inaweza kuwa issue ya formatting ya Flash Disk/Memory Carda unazotumia.
Namaanisha vifaa kama radio, TV, Theatres zinasoma Flash zilizokua formatted kwa FAT or FAT32.
Bahati mbaya siku hizo Windows inatumia NTFS kama default formatting system.

Cha kufanya:
Chukua flash yako, chomeka kwa computer, kisha right click, Format. Kwenye format options chagua FILE SYSTEM kutoka NTFS iwe FAT. Then ikimaliza, weka miziki yako kwenye flash.
Mwisho chomeka sasa hiyo Flash kwenye mziki wako, uone kama itakubali.

Ulishajaribu kufanya hivo ikagoma?
Kama bado jaribu. Kama tayari basi tatizo ni la mziki wenyewe.
Watu wote wangekuwa kama wewe tunge fika mbali kiuchumi hongera ubarikiwe
 
Ina warranty nipo mwanza nimeiagiza kutoka dar es salaam alieniagizia alitest kila kitu dukani na flash ilikua inafanya kazi imefika huku naweka flash haifanyi kazi sijui tatizo ni nini,au zinachagua flash,kwasasa naunga waya karedio kadogo naweka memory kwenye radio inaplay
Flash fake hizo tena kama ni sony inachagua fake haipigi
 
Nimemtofautishia nime sema kwamfano ili ajuwe tu kwa kidogo yeye kasema haelew chochote kuhusu iyo tofauti sasa ulitaka nimtajie na vitu asivyo vijuwa ata vinaitwaje kwanza nimesha ongea nae kwanini watu wa jf mnakuza mambo kitu kidogo kiwe kikubwa kwani we shida yako nini na alie uliza swali kashaelewa japo kwa mfano tu mengine msipende kuyakuza sio vizur uku jf hata mtu uwe mpole kiasi gani na wateja lakin kunawatu watakuchokoza mpaka mtu uonge vibaya ili tu kuonekana hatujui kuongea na wateja biashara sio yako
Mkuu hizo lugha zako siyo za kibiashara! Unapaswa kumlainisha mtu kwa maneno kwanza kabla hata hajaiona hiyo bidhaa yako, hiyo ni principle ya biashara! Sasa ukiwa unajibu kama mpo kwenye ligi, wanaokuchokoza kwa maswali hawana cha kupoteza ila wewe utapoteza credibility kwa wateja wako mkuu, ni ushauri tu!
 
Sio kwa jf nimlainishe kwa mafuta ya petrol wanaongea ujinga wao niwa nyama zie kama mtu anajuwa kitu aseme watu wataelewa sio kuponda biashara za watu namba imetolewa duka lilipo nimesema lakin mtu hajipiga simu wala dukani hajaja lakin anavyo ongea utazani simu kapiga na dukani kwetu kafika kama nitakosa wateja na nikose tu lakin sio nikae kmy mtu kuniongelea vibaya kama mtu cha kusema ana basi asiongee kufurahisha wengine ni bora anyamaze
 
Back
Top Bottom