Frankdaniel711
JF-Expert Member
- Oct 8, 2018
- 366
- 140
Hahahaha kwakweli nimefurahi kwa swali lako Ila nakujibu kwa mfano huu; najuwa kuna aina mbalimbali za simu Ila Mimi nataka nikujuze kwa upande Wa simu za tochi na smartphone, zote ni simu lakin uwezo wake ni tofauti ndivyo ilivyo kwa upande Wa subwoofer na hometheater, kunawateja wanaopenda mziki Wa kawaida pamoja na mdundo mkubwa na kuna wale wanaopenda mziki mkubwa wanasema mziki mnene na spika zenye twitter nyingi na mdundo Wa kutosha ivyo basi uwezo Wa subwoofer nikama mfano Wa simu za tochi na hometheater nikama mfano Wa smartphone utakuwa umenielewa kama kuna wengine watakuwa wanachangia basis utajua zaid Ila Mimi nafahamu kwa ivyonipe elimu ya utofauti kati ya subwoofer na hiyo hometheatre maana sijawahi ielewa ingawa nina mpango wa kununua nione ina kitu gani cha ziada.
Woooow hongera kwa ilo MUNGU akusaidie ufungue; kwa mgahawa ungechukua spika zile za ukumbini kwa sisi tunauza LAKI 450 sipika 2 zinatumia flash,memory card, Bluetooth kwa hometheater chukua hii nilio ipost hapaAhaaaa kumbe Frankdaniel711 sasa mimi ninataka kufungua mgahawa wa kati na wa kisasa kwa miezi ya hapo mbeleni ndo nikawa nawaza kununua hii kitu niwaburudishe wateja wangu kwa sauti tamu ya mziki,fikiri ni mgahawa wa meza kumi na viti 40 vya wateja,at least hometheatre ya ukubwa gani itanifaa na ya bei gani na kampuni gani ni imara? nitashukuru kwa majibu,
Frankdaniel711 kwahiyo unanishauri nichukue hizo spika kuliko hometheatre? mziki utakaokuwa unatoka hapo utakuwa umechujwa kweli,manake mm kiu yangu ni kwenye quality ya mziki.
Ahsante kwa info,muda ukiwadia nitakuchek.
weka picha halisi sio hiyo ya mtandaoni......
inaongelewa picha ya bidhaa sio avatar ya profile yako, mna soundbars? Za aina ipi na bei ipoje?Wewe yako ya ni halisi, toa kibanzi jichoni kwako kwanza na usiwe unapenda kuonekana na wewe umeconment ukitaka iyo homethieatr piga simu uletewe ukiona unataka kuja dukani kwetu basi karibu sana sisi tupo kariakoo mtaa Wa ndanda ukifika tu unapiga simu tunakufata kituoni unataka mini tena kwa kuisema ni bora iwe ivyo kuliko vya halisi. Sina muda Wa kaadukani sana na kupiga picha ndio mana kuna kitu kinaitwa sample kama unataka iyo homethieatr .njooo dukani utaki basi acha kupotocha wenzako wanao itaji SORRY
hahaha sorry kama nimekukwaza,,ulishawahi soma hii kabla https://www.jamiiforums.com/threads/mwongozo-zingatia-haya-unapoweka-tangazo-lako.1357521/Wewe yako ya ni halisi, toa kibanzi jichoni kwako kwanza na usiwe unapenda kuonekana na wewe umeconment ukitaka iyo homethieatr piga simu uletewe ukiona unataka kuja dukani kwetu basi karibu sana sisi tupo kariakoo mtaa Wa ndanda ukifika tu unapiga simu tunakufata kituoni unataka mini tena kwa kuisema ni bora iwe ivyo kuliko vya halisi. Sina muda Wa kaadukani sana na kupiga picha ndio mana kuna kitu kinaitwa sample kama unataka iyo homethieatr .njooo dukani utaki basi acha kupotocha wenzako wanao itaji SORRY
Ndugu wadau wa Jukwaa la Matangazo Madogo,
Tunafarijika kuona mnaendelea kutumia vizuri jukwaa hili katika kufanya biashara.
Hata hivyo, kuna changamoto kwa baadhi ya wenzetu kushindwa kuzingatia vigezo vya kuweka matangazo yao hivyo kupelekea matangazo yao kuondolewa hewani.
Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.
- Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
- Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
- Taja bei
- Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.
- Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
- Usiweke tangazo moja mara nyingi.
Kuna baadhi ya matangazo hayaruhusiwi kabisa JamiiForums. Mfano matangazo ya kurasa za Blogs, Facebook, Instagram, Twitter au mtandao wowote yataondolewa mara moja.
Karibuni kwa maswali na ufafanuzi zaidi..
ivi wewe nikwavile unaniona Mimi mshamba Wa biashara za mitandaoni hata iwekwe sheria ya aina gani kama mtu akitaka kukutapeli picha halisi sio kikwazohahaha sorry kama nimekukwaza,,ulishawahi soma hii kabla https://www.jamiiforums.com/threads/mwongozo-zingatia-haya-unapoweka-tangazo-lako.1357521/
sasa kama hauna muda wa kupiga picha,uko serious kweli?
tafuta hata mpiga picha akupigie hizo bidhaa,,utawakosa wateja wengi kwa kutokuweka picha halisi ya bidhaa
Mnataka picha halisi kama iyohahaha sorry kama nimekukwaza,,ulishawahi soma hii kabla https://www.jamiiforums.com/threads/mwongozo-zingatia-haya-unapoweka-tangazo-lako.1357521/
sasa kama hauna muda wa kupiga picha,uko serious kweli?
tafuta hata mpiga picha akupigie hizo bidhaa,,utawakosa wateja wengi kwa kutokuweka picha halisi ya bidhaa
Sijaja jf kufurahisha watu au kuwapa faida watu kwamba kisa situmi picha halisi nitakosa wateja basi na nikose tu hao wateja nimesema anae itaji aje dukani kwetu ni kariakoo lakin we unaweka malumbano kwani dukani kwetu ulisha kuja kama ni kosa mwambia admin anitoe jf.Mnataka picha halisi kama iyoView attachment 1158833
Umenunua bado ina warranty mpaka sasa,uko wapi kwaniNna redio Kama hiyo inanisumbua sana kwenye upande wa flashi,nimenunua flash Toshiba na San disc hazosomi zote nimeingia hasara kurudisha dukani haiwezekani, msaada wako ndugu
Zipo soundbar kampuni zote we unataka kampuni gani bei laki 650 njo WhatsApp au kwenye page yetu ya BIDHAA ZETU LEO TUTUMIE SMSinaongelewa picha ya bidhaa sio avatar ya profile yako, mna soundbars? Za aina ipi na bei ipoje?