United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
- Thread starter
- #61
inategemea na bidhaa unayotakaMzigo wa jumla unaanzia piece ngapi? Mathalani mabegi ya mgongoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inategemea na bidhaa unayotakaMzigo wa jumla unaanzia piece ngapi? Mathalani mabegi ya mgongoni.
Nishakutumia nambShida pm aikubali
Njoo wew ili uje uwape ushuda wezakoWaliopata msaada mje mtoe ushuhuda ili wengine wahamasike na kujua ajindae na mtaji kiasi gani.
Lakini pia ni namna ya kutoa compliments kwa United ya Ferguson
Amefunga pm yake lakini ukihitaji msaada yuko faster sana. Anakufuata PM mwenyewe.Mkuu umefunga PM
Hapana Nisikudanganye au siwapati kabisaHabari Mkuu PM Inagoma mi naomba connection ya vifaa vya gesi na majiko ya gesi
Pia vifaa vya umeme kama cable, switch, extation n.k