Ofa ya Connection ya Wachina wanaoshusha Mizigo ya jumla Kariakoo

Ofa ya Connection ya Wachina wanaoshusha Mizigo ya jumla Kariakoo

Naomba connection ya wachina wanaoshusha mzigo wa electronics. Napendelea zaidi wauzaji wa tv, na subwoofer hasa aboder, mr uk na seapiano.

Asante

Pm yako umeifunga
 
Mkuu umefunga PM
Amefunga pm yake lakini ukihitaji msaada yuko faster sana. Anakufuata PM mwenyewe.

Nadhani hii ni kupunguza kujibu baadhi na wengine kubaki kwa nature ya pm. Unaweza kuwa na biashara ama nyuzi nyingi zinazohitaji pm, ikakufanya kudeal na wachache. Mimi ni mmoja kati ya waliojibiwa pm
 
Mkuu mimi nahitaji connection ya underwears / nguo za ndani za kike na kiume aina zote
 
Mkuu nimekufata pm,naomba nifungulie nahitaji connection .
 
Habari Mkuu PM Inagoma mi naomba connection ya vifaa vya gesi na majiko ya gesi

Pia vifaa vya umeme kama cable, switch, extation n.k
 
Back
Top Bottom