X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Inawezekana alikuwa anatafuta JKT na Unjagu kwa pamoja mkuu ila alianza kutafuta Unjagu alafu baada ya miaka 4 akaanza kutafuta na U-jkt so kwa miaka 8 ya mwisho ya utafutaji wake alikuwa anapiga parallel ..........Samahani mkuu, umesoma vigezo hata vitatu tu vya kujiunga na hilo jeshi?
12+8=20
Tuseme kuzaliwa mpaka kusoma kwako ulitumia miaka6.
20+6=26 umri huu tayari disqualified
Tuzungumzie huo uwanja sasa
Upo eneo gani.
Babu, tusameheane tusiombeane mabaya wala kutakiana laana.Alafu Ukishaipata, hasira zako za kuhonga kazi kwa kutoa kiwanja uje uwatolee bodaboda, wapinzani na wauza mkaa.
Omba kazi nyingine hii ya upolisi nakuombea ukose kabisa! Tena ukiendelea kubembeleza hii kazi nakuombea upate laana ya maisha yako yote.
Tena shindwa katika jina la Yesu Kristo
Safi sana.Babu, tusameheane tusiombeane mabaya wala kutakiana laana.
Kila mtu ana ndoto ya kupata kile anachokipenda.
Ingawa unaweza kupenda kitu kumbe kina shari ndani yake na ukakichukia kitu kumbe kina heri ndani yake.
Si police wote wabaya na si madaktari wote ni wema.
Hicho kiwanja unachotaka kuhonga utakirudisha kwa miaka mingapi kwa kutegemea mshahara wa polisi? Hautegemei kuumiza wengine ili ufanikiwe haraka?Babu, tusameheane tusiombeane mabaya wala kutakiana laana.
Kila mtu ana ndoto ya kupata kile anachokipenda.
Ingawa unaweza kupenda kitu kumbe kina shari ndani yake na ukakichukia kitu kumbe kina heri ndani yake.
Si police wote wabaya na si madaktari wote ni wema.
Hicho kiwanja unachotaka kuhonga utakirudisha kwa miaka mingapi kwa kutegemea mshahara wa polisi? Hautegemei kuumiza wengine ili ufanikiwe haraka?
Uza hicho kiwanja ufanye uwekezaji wowote huku ukitafuta kazi nyingine ila sio upolisi. Tutakuombea mabaya mpaka ukome na hilo pepo lako la upolisi
Mungu anapokea maombi yote ya waja wake lakini jukumu la kuchuja mashudu na mchele si jukumu la muombaji ila la muombwa hivyo yeye ndiye anaamua amkubalie mchawi akutese au neema na maombi ya waja wema vikumulikie.Hicho kiwanja unachotaka kuhonga utakirudisha kwa miaka mingapi kwa kutegemea mshahara wa polisi? Hautegemei kuumiza wengine ili ufanikiwe haraka?
Uza hicho kiwanja ufanye uwekezaji wowote huku ukitafuta kazi nyingine ila sio upolisi. Tutakuombea mabaya mpaka ukome na hilo pepo lako la upolisi
Inategemea mkuu maana hata IGP nae ni policekwani mshahara wa polisi shingapi jaman!!!
maana story zimekuwa nyingi sana.
Kuanzia Tsh 250,000 - 1,600,000 kwa mwezikwani mshahara wa polisi shingapi jaman!!!
maana story zimekuwa nyingi sana.
Kwa vyeo gani mkuu?Kuanzia Tsh 250,000 - 1,600,000 kwa mwezi
Huyo anayeomba kazi ya upolisi bora aendelee kusota kitaa dawa imuingie kisawasawaMungu anapokea maombi yote ya waja wake lakini jukumu la kuchuja mashudu na mchele si jukumu la muombaji ila la muombwa hivyo yeye ndiye anaamua amkubalie mchawi akutese au neema na maombi ya waja wema vikumulikie.
All in all si mimi niliyeweka hilo bango lakini bado sijaona nafasi ya yeye kulaumiwa na kupewa maneno mabaya
Nimeuliza kwa lirafiki langu ambalo ni polisi likanijibu hivyoKwa vyeo gani mkuu?
Umetafuta zaidi ya miaka kumi na mbili.18 +12=30 kule ni miaka 26 kwenda chini muraaaa kachonge cheti cha kuzariwaa kwanza.
Hapo mtaani kwenu kama Kuna mkubwa yoyote mtumie huyo kupata nafasi,utumishi wa umma wa nchi hii ni WA upendeleo na kujuana sana,Mimi nilikosa nafasi ya jeshi kutokana na upendeleo mwaka 2002,sasa kama Hari ilikuwa ngumu miaka 20 iliyopita,leo itakuwaje?kwa mara nyingine nakuja kwenu ndugu zangu, ndugu yenu nimehangaika sana kutafuta nafasi kwenye majeshi yetu bila mafanikio, kiukweli nina nia ya dhati kabisa ya kulitumikia taifa letu, nimehangaika kutafuta nafasi jkt miaka 8 mfululizo bila mafanikio, nimehangaika kutafuta nafasi za polisi zaidi ya miaka 12 sijawahi kufanikiwa.
najua humu ndani kuna watu wa aina tofautu tofauti, lengo langu ni kujiunga na jeshi la polisi hivyo kama kuna mtu humu ndani anao uwezo wa kunisaidia nikasajiliwa ndani ya jeshi la polisi...nitampa zawadi ya kiwanja, kiwanja hicho ni mari yangu kabisa, ni kikubwa 70*35....ni matumaini yanu maombi yanu yatamfikia mlengwa...View attachment 1898297