Ofa ya kiwanja kwa atakayenisaidia kujiunga na Polisi

Weee omba tuuuu hata kama hujakamilisha vigezo kupata au kukosa matokeo ya kuthubutu kwako Lakini usiache kuomba
 
No way peleka tuuuu Mengine yatajitengeneza/utayatengeneza lakini kwanza omba nafasi
KIPENGELE cha tatu hapo kinanihusu mimi ila ebu niambie kiongozi nisafiri kutoka Tanga hadi dodoma kweli kwaajili ya kupeleka maombi.au mimi sijalielewa Tangazo...?
 
@takukuru @pcccb njooni huku
 
Unaweza kuonyesha uzalendo wako kuitumikia nchi yako kupitia jeshi la mgambo ambalo halichagui umri wala elimu
 
Unahitaji connection ya ajira za uarabuni au kuwa police....?
Au Nyumba hii haiuzwi ogopa matapeli,,,..[emoji3][emoji3]
 

Kigezo uwe umepita jKT jomba..unacho hicho
 
Unahitaji connection ya ajira za uarabuni au kuwa police....?
Au Nyumba hii haiuzwi ogopa matapeli,,,..[emoji3][emoji3]
mimi ni mtafutaji popote kambia...sasa kama hizo za uarabuni hazijapatikana siruhusiwi kutafuta alternative...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…