Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Kwa hiyo jamaa kutoa motisha au zawadi imegeuka rushwa?Sio kweli unajaribu kuhalalisha RUSHWA.
Kinachotolewa na polisi kwa raia ili kukamata mtu inaitwa BOUNTY (motisha) na hii sio rushwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo jamaa kutoa motisha au zawadi imegeuka rushwa?Sio kweli unajaribu kuhalalisha RUSHWA.
Kinachotolewa na polisi kwa raia ili kukamata mtu inaitwa BOUNTY (motisha) na hii sio rushwa
nina miaka 26, sijawahi kujiunga na jkt hivyo sina cheti...elimu yangu ni kidato cha nne labda na ujuzi wa kuendesha gari though ninayo leseni ya udereva....{teyari nimesha kutumia inbox ikikupendeza naomba unisaidie }Una cheti Cha jkt!? Una umri gan n elimu gani!? Njoo box kuna mtu anaweza ninamjua kabisa mkuu
yap hiyo ni kama motisha tu rushwa haitangazwi..Kwa hiyo jamaa kutoa motisha au zawadi imegeuka rushwa?
Mkuu hata ukiuukosa upolice,wwe jitolee kua police Jamii,ukiona matukio ya kihalifu popote pale ya report haraka sana kwenye mamlaka husika,au ukikuta mtu anashida ya kitu flani msaidie Kama utakua kwenye nafasi ya kumsaidia!!kwa mara nyingine nakuja kwenu ndugu zangu, ndugu yenu nimehangaika sana kutafuta nafasi kwenye majeshi yetu bila mafanikio, kiukweli nina nia ya dhati kabisa ya kulitumikia taifa letu, nimehangaika kutafuta nafasi jkt miaka 8 mfululizo bila mafanikio, nimehangaika kutafuta nafasi za polisi zaidi ya miaka 12 sijawahi kufanikiwa.
najua humu ndani kuna watu wa aina tofautu tofauti, lengo langu ni kujiunga na jeshi la polisi hivyo kama kuna mtu humu ndani anao uwezo wa kunisaidia nikasajiliwa ndani ya jeshi la polisi...nitampa zawadi ya kiwanja, kiwanja hicho ni mari yangu kabisa, ni kikubwa 70*35....ni matumaini yanu maombi yanu yatamfikia mlengwa...View attachment 1898297
asante...nitalifanyia kazi wazo lakoMkuu hata ukiuukosa upolice,wwe jitolee kua police Jamii,ukiona matukio ya kihalifu popote pale ya report haraka sana kwenye mamlaka husika,au ukikuta mtu anashida ya kitu flani msaidie Kama utakua kwenye nafasi ya kumsaidia!!
sijapita jkt..ndugu yangu ila niulizie uwezi jua kupitia nafasi yake naweza kubahatika....nimehanaika sana ndugu yanguKumbe hukupita JKT ndugu!!
nikweli kumbuka hata vidole havija linganaKazi ya waliofeli shule hii mtu mwenye akili timamu kabisa unahonga ardhi kupata u-koplo
Asilimia 99% polisi hawana viwanja. Sasa wewe polisi ambaye bado upo mtaani tayari unagawa kiwanja ufanane na wenzio waliopo kazini.nikweli kumbuka hata vidole havija lingana
inawezekana....!Asilimia 99% polisi hawana viwanja. Sasa wewe polisi ambaye bado upo mtaani tayari unagawa kiwanja ufanane na wenzio waliopo kazini.
Kwa hiyo akili tu KWELI UNAFAA KUWA POLISI
Matanga mbushi alisaidia Kijiji kizima kikawa Kijiji cha polisiivi sasa nina miaka 26...ila kwenye sekta hizo mchawi ni refa tu.....yupo mtu namjua aliingia akiwa na miaka 32....wala hakubadirisha cheti....tena aliingia na elimu ya darasa la saba...enzi za marehe Matanga...dah....mwenyezi Mungu amlaze mahala pema pepo...siajabu hivi sasa na mimi ningekuwa askari...Matanga Mbushi ninaamini umepewa ukilanja huko peponi ulikuwa na roho nzuri sana BABA
Khee!![emoji1][emoji1]Alafu Ukishaipata, hasira zako za kuhonga kazi kwa kutoa kiwanja uje uwatolee bodaboda, wapinzani na wauza mkaa.
Omba kazi nyingine hii ya upolisi nakuombea ukose kabisa! Tena ukiendelea kubembeleza hii kazi nakuombea upate laana ya maisha yako yote.
Tena shindwa katika jina la Yesu Kristo
kumbe unamfahamu...kuna mtu alinihadithia mwaka fulani aliingiza depo nzima askari wa darasa la saba...dah kiukweli sikuwa namfaham sikuwahi kumuona ila niliwahi kuwasiliana nae enzi za uhai wake...siku nilio wasiliana nae nilijua kuwa hapa nawasiliana na mtu mwenye ubinaadam...na alinipa ahadi kuwa atahakikisha mwakani 2015....ananisajiri jeshini...miaka kadhaa baadae nikasikia amefariki...kwakweli nilihudhunika sana na bado nina hudhuni kubwa kwaajili yake...mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi Matanga MbushiMatanga mbushi alisaidia Kijiji kizima kikawa Kijiji cha polisi
ile sio ajira ni uzalendo...hiyo ni kama posho na si mshahala...wewe umeona wapi mtu akalilia kukimbizana na risasi mtaani...huko ni kujitoa kufa kupona kakaUkisikiliza stori za wadau huku mtaani unaweza kusema kazi ya polisi ndio yenye njaa kabisa.[emoji1][emoji1]
utasikia mishahara ya polisi:
PC 150K
CPL 200K
SGT 300K..n.k
Tena hapo hakuna cha marupu rupu(posho posho).aisee mtaani huku tunadanganywa sana na hawa wadau.
asante sana ndugu yako maneno yako yamenipa nguvu....kiukweli hii ndio deadline yangu nikikosa mwaka huu...basi nitafanya mambo mengine tu.Kila mtu anayo nafas yake Mungu aliyo mpangia wapo watu sahiv ni polisi lakini haikuwahi kuwa ndoto yao kuwa polisi na pengine waliichukia hiyo kaz pindi wakiwa wanasoma lakin Leo hii ni polis na wanaipenda kaz yao
Ikiwa ww utakosa bas usikate tamaa pengine Mungu hajapenda wewe uwe katika nafas hiyo na amekuandalia nafas nyingine na utaifurahia pia
Matanga mbushi Kijijini kwao kasaidia familia nyingi nafkiri kila nyumba ina mtoto polisi naskia ye ndo alikua mkuu wa chuo lakin ukizingua kwenye mafunzo anakufukuza ila miaka mingine mbele anakurudishia ccp na badae unakua polis nilipata stori zake kasaidia watu wengi Sana ambao wengine hata yeye alikua hawakumbukikumbe unamfahamu...kuna mtu alinihadithia mwaka fulani aliingiza depo nzima askari wa darasa la saba...dah kiukweli sikuwa namfaham sikuwahi kumuona ila niliwahi kuwasiliana nae enzi za uhai wake...siku nilio wasiliana nae nilijua kuwa hapa nawasiliana na mtu mwenye ubinaadam...na alinipa ahadi kuwa atahakikisha mwakani 2015....ananisajiri jeshini...miaka kadhaa baadae nikasikia amefariki...kwakweli nilihudhunika sana na bado nina hudhuni kubwa kwaajili yake...mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi Matanga Mbushi