Ofa ya kiwanja kwa atakayenisaidia kujiunga na Polisi

Ofa ya kiwanja kwa atakayenisaidia kujiunga na Polisi

ndio maajabu ya kumsimanga jamaa wa kiwanja bila kujua ataanza na shingapi.

wapo wanaoanza kazi na 400k,480k,560k na 940k na cheo ni kimoja yaani cha chini kabisa.
nisaidie kama unapo pa kuanzia...maji yamezidi unga
 
njia ni ngumu mkuu maana sifa ainishwa ni zile pale kwenye fomu.

kama unazo zote basi una nafasi kubwa sana,cha msingi kaandike maombi
sifa moja tu sina....jkt...dah....nimekwama mimi nimekwama sana
 
Pole kiongozi
Ila nakukumbusha tu kwenye cv yako hiyo ya utafutaji kazi polisi weka miaka 13
Maana huu ni mwezi wa 8 mwaka ni kama umeshaisha
 
Pole kiongozi
Ila nakukumbusha tu kwenye cv yako hiyo ya utafutaji kazi polisi weka miaka 13
Maana huu ni mwezi wa 8 mwaka ni kama umeshaisha
na huu ndio mwaka wa mwisho kwakweli kama sito pata...basi nitawekeza kwenye mambo mengine japo akili yangu haitokaa iamini kuwa nimeshindwa kupata nafasi
 
Ila maisha kiukweli hayapo fair kuna mtu anasota kupata kazi na yupo tayari kabisa hadi kutoa kiwanja na kuna bwana mdogo yeye hataki kabisa kusikia habari hiyo.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Dogo ndoto yako halisi ni ipi:
Kwenda Dubai

au

Kuwa Polisi.

Maana unatuchanganya kaka zako.

Pia wewe tayari ni askari si utulie tu hapo GardaWorld?
 
kwa mara nyingine nakuja kwenu ndugu zangu, ndugu yenu nimehangaika sana kutafuta nafasi kwenye majeshi yetu bila mafanikio, kiukweli nina nia ya dhati kabisa ya kulitumikia taifa letu, nimehangaika kutafuta nafasi jkt miaka 8 mfululizo bila mafanikio, nimehangaika kutafuta nafasi za polisi zaidi ya miaka 12 sijawahi kufanikiwa.

najua humu ndani kuna watu wa aina tofautu tofauti, lengo langu ni kujiunga na jeshi la polisi hivyo kama kuna mtu humu ndani anao uwezo wa kunisaidia nikasajiliwa ndani ya jeshi la polisi...nitampa zawadi ya kiwanja, kiwanja hicho ni mari yangu kabisa, ni kikubwa 70*35....ni matumaini yanu maombi yanu yatamfikia mlengwa...View attachment 1898297
Akili yako mbaya au nzuri? Maana jeshi la polisi ili ujiunge nalo unatakiwa uwe kichwani kuna zero na ukatili...
 
Akili yako mbaya au nzuri? Maana jeshi la polisi ili ujiunge nalo unatakiwa uwe kichwani kuna zero na ukatili...
sio kweli...hiyo consipration yako naikataa.watu waliovurugwa wapo kila sehemu....hadi madokta wapo walio vurugwa...
 
Kuanzia Tsh 250,000 - 1,600,000 kwa mwezi
250K??? Una matatizo kichwani...

Ration zaidi ya hiyo
na pesa za kila baada ya miezi mitatu ni zaidi ya hiyo

Una taka kuambiwa vingine? Bado kuna kulipwa kwa taalma yako ujuzi...

Kuna kulipwa kulingana na elimu yako

Hacha kukatisha watu tamaa...
 
Ukianza kuomba na ukiwa na umri wa miaka 18 ndani ya miaka 12 inamaana una 30 sasa hivi
Polisi mwisho miaka 26 kama hujafika degree, kama una degree na masters ni 28

USHAURI: Uza kiwanja fungua kampuni ya ulinzi chukua wanamgambo waajiri. Wewe utakuwa mkurugenzi

MWISHO: unachokifanya ni RUSHWA mpaka hapo umejitoa ktk vigezo vya kuwa polisi
Ni zawadi au donge noono...

Usisahau polisi pia huwa wana tumia hizi njia kokote kule duniani...

Mtu ana tafutwa atakaye wezesha upatikanaji wake atapewa donge nono au zawadi...

Ktk siasa kipindi cha kampeni tuliita takrima
 
Ni zawadi au donge noono...

Usisahau polisi pia huwa wana tumia hizi njia kokote kule duniani...

Mtu ana tafutwa atakaye wezesha upatikanaji wake atapewa donge nono au zawadi...

Ktk siasa kipindi cha kampeni tuliita takrima

Sio kweli unajaribu kuhalalisha RUSHWA.
Kinachotolewa na polisi kwa raia ili kukamata mtu inaitwa BOUNTY (motisha) na hii sio rushwa
 
Una cheti Cha jkt!? Una umri gan n elimu gani!? Njoo box kuna mtu anaweza ninamjua kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom