Ofa ya kiwanja kwa atakayenisaidia kujiunga na Polisi


Bado unatafuta KAZI ya Polisi?Unamjua Hamza?
 
Mkuu mpaka hapo ushakua disqualified tayari, hyo ni rushwa kama rushwa zingine
 
Haya we jamaa Prince Mhando kazi ni kwako
 
nashukuru sana ngoja nijaribu bahati yangu
Noamba nikushirikishe hili.

Ukitaka kupata kazi ya upolisi kwa urahisi kwa Sasa jiweke tofauti na wenzio jipe additional value. Maana Hadi Sasa wote mnafanana kwa vyeti Sasa wewe jitofautishe nao... Unafanyaje? Hapa ndio nisikilize uzuri.

Nenda mtandaoni fasta kasome kozi moja inaitwa Cyber security fasta ukimaliza hata ndani ya siku moja wanakupa Cheti unaprint fasta. Unahifadhi kwa Sasa Polisi Wana uahaba mkubwa saana wa watu wa forensic investigator wakiona una Cheti Cha forensic investigator au cyber security hawakuachi.

Nenda mtandaoni jifunze kutumia app ya maltego kufanya investigation ya cyber itakuchukua siku 3 tu kuelewa inavyofanya kazi. Wakitaka demonstrate hiyo kwao. nakuhakikishia hawakuachi na ukimaliza depo unakula kitengo Cha Cyber security pale makao makuu au forensic mshahara laki 9 na posho laki 3 kila tarehe 15.

Hii kozi nzima itakugharimu elfu 50 mtandaoni na Cheti wanakupa.

Kila la kheri! View attachment 1949517
 
Au nenda Udemy kajifunze Open source intelligence kwa siku tatu pekee, Polisi hawana Hawa watu kwa Sasa na hawafundishi hiki kitu huko depo kwa Sasa wanataka watu wenye fresh knowledge about Osint kutoka mtaani.

Ukisema tu unacho hicho na una udereva umekula kazi mzawa.
Kazi inabaki kwako kwenda kugangamala depo tu.
 
udemy ndio wapi ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…