Watu wameita migahawa Trump hadi bar, we baki huko huko no wonder you can't even think of yo shop's name!are u seriously unachanganyaje mambo ya politics na business dah come on guy the world now change.....
lakini si bashite bwana agrrrrr...Watu wameita migahawa Trump hadi bar, we baki huko huko no wonder you can't even think of yo shop's name!
Asalaam wakuu
Ktk ile ofa yangu wengi wamenijia inbox na kupendekeza jina liwe bashite.
Sasa nimeogopa kutengeneza bango maana hilo jina mmmh! Halitakuwa na shida kweli? Lisije kuniletea shida.
Maoni yenu pls
Kama litapita ofa itamwangukia aliekuwa wa kwanza kulitaja post iliyopita
mkuu hilo jina hapana bora uite NJOO UPENDEZE SHOPAsalaam wakuu
Ktk ile ofa yangu wengi wamenijia inbox na kupendekeza jina liwe bashite.
Sasa nimeogopa kutengeneza bango maana hilo jina mmmh! Halitakuwa na shida kweli? Lisije kuniletea shida.
Maoni yenu pls
Kama litapita ofa itamwangukia aliekuwa wa kwanza kulitaja post iliyopita
za usoWatu wameita migahawa Trump hadi bar, we baki huko huko no wonder you can't even think of yo shop's name!
Usilete mchezo kwny biashara