Ofa ya kunichagulia jina la duka.. bashite collection!

Ofa ya kunichagulia jina la duka.. bashite collection!

d one

Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
24
Reaction score
20
Asalaam wakuu
Ktk ile ofa yangu wengi wamenijia inbox na kupendekeza jina liwe bashite.
Sasa nimeogopa kutengeneza bango maana hilo jina mmmh! Halitakuwa na shida kweli? Lisije kuniletea shida.
Maoni yenu pls
Kama litapita ofa itamwangukia aliekuwa wa kwanza kulitaja post iliyopita
 
Siungi mkono hoja hata ukishauriwa namna gani kuwa liwe ndo jina siku ya siku utapotezwa jumla kwani huo utakuwa ni uchonganishi usikute duka limechomwa moto kwani wafuasi wa hilo jina wanamachungu na hawapendi kuona ukikebehi watu lakini pia unaweza usababisha mgawanyiko wa wateja mwingine akiona hivyo haiingii dukani kwako jina zuri ni JAMAICA SHOP
Au JINYONYOE SHOP
 
Kwa jina hilo ukitaka kupata wateja labda uwe unauza sare, kofia na vitenge vya wale ndugu zetu wa kijan n itapendeza ukalifungua mtaa wa lumumba
 
hilo duka utauza sana jamaa usiogope, utapata special order nyingi sana kutoka lumumba,
NB: usisahau kuweka pensi size ya lemutuzi
 
are u seriously unachanganyaje mambo ya politics na business dah come on guy the world now change.....
 
are u seriously unachanganyaje mambo ya politics na business dah come on guy the world now change.....
Watu wameita migahawa Trump hadi bar, we baki huko huko no wonder you can't even think of yo shop's name!
 
Mwanzo H2O kaishia kuomba pooo mwenyewe
sijui wewe utafanyaje...
mambo mengine ni ya kuyaacha tu kama yalivyo.
 
Asalaam wakuu
Ktk ile ofa yangu wengi wamenijia inbox na kupendekeza jina liwe bashite.
Sasa nimeogopa kutengeneza bango maana hilo jina mmmh! Halitakuwa na shida kweli? Lisije kuniletea shida.
Maoni yenu pls
Kama litapita ofa itamwangukia aliekuwa wa kwanza kulitaja post iliyopita

Mtu asikudanganye.Jina ni kila kitu!

The right name will further your brand and increase sales!
Inatakiwa mtu akiliona jina ajue moja kwa moja linauza nini na pia lisiwe jina la kugawanya makundi ya watu. Usichanganye siasa na biashara!
Mimi nashauri jina la 'Tanzania Affordable menswear shop'
Hili ni jina ambalo hata hapo baadaye ukipanua biashara unaweza kuuza bidhaa zako ndani na nchi za nje kwa urahisi.
 
urban gents
bongo gents
bongo fashion
nafuu men collection
swahili gents
your price
smart look
fare price
 
Asalaam wakuu
Ktk ile ofa yangu wengi wamenijia inbox na kupendekeza jina liwe bashite.
Sasa nimeogopa kutengeneza bango maana hilo jina mmmh! Halitakuwa na shida kweli? Lisije kuniletea shida.
Maoni yenu pls
Kama litapita ofa itamwangukia aliekuwa wa kwanza kulitaja post iliyopita
mkuu hilo jina hapana bora uite NJOO UPENDEZE SHOP
 
Back
Top Bottom