Ofa ya Ommy dimpoz yawatoa mapovu mashabiki

Ofa ya Ommy dimpoz yawatoa mapovu mashabiki

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Mwanamuziki ommy dimpoz ametangaza kugawa sumu za mpya i phone 7 kwa mashakizi zake
Ofa iyo imepokelewa tofauti na mashabiki wake baada ya picha alioweka ikimbatana na kilainishi cha mafuta ya vaseline, kila shabiki amekuwa na tafsiri tofauti huku wengine wakidhani anaamasisha mambo ya ushoga
1474302011729.jpg
 
Nina mtoto mmoja wa kiume. Eeeh, Mungu baba, nusuru kizazi hiki.
 
Haya mambo yanapoelekea sjui huko mbele kutakuaje
 
mbona ni akili ndogo sana kuelewa jamaa si anataka kutoa nyimbo na alikiba inaitwa kajiandae anataka kiki hawa wasanii wa bongo wanakopita tayar diamond alisha pita sasa ni kimya kimya tu na salome
 
Back
Top Bottom