brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Mwanamuziki ommy dimpoz ametangaza kugawa sumu za mpya i phone 7 kwa mashakizi zake
Ofa iyo imepokelewa tofauti na mashabiki wake baada ya picha alioweka ikimbatana na kilainishi cha mafuta ya vaseline, kila shabiki amekuwa na tafsiri tofauti huku wengine wakidhani anaamasisha mambo ya ushoga