Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Ni pm namba zako nikupe zawadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili umkimbie???Mwanajf yeyote aliyekaribu ajongeeeView attachment 978022
Unaogopa kulazwa juu ya mti na kitanda chako naona, si kwa kujihami...😀😀😀😀nimefuta, nisaidie kufuta quote yako pia
Kaka unanizibia ridhiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ya mme mpya
Ok ok sawamkuu nimepewa ruhusa ya kukomenti chochote bila mipaka nipate likes...sorry lkn
Poapoa nimefuta... Thanks so much kwa kujali [emoji120][emoji120][emoji120]nimefuta, nisaidie kufuta quote yako pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kalumanzila na Demiss are still in love. Njemba msichuuzike kupiga speed kwa mrembo mtaishia kulazwa makaburini. Nimeshawaonya ole wenu!
hatuko hapa kuumizana mkuu, tunapokoseana tunawekana sawaPoapoa nimefuta... Thanks so much kwa kujali [emoji120][emoji120][emoji120]
Mie nasikia mtaani Demiss na Kalumanzila wameachana na wenyewe kuthibitisha hivyo lakini hadi hii leo sababu rasmi ya kuachana hatuijui! Je, tatizo kati ya hawa 2 lovebirds ni lipi? [emoji15]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji106][emoji123][emoji115]hatuko hapa kuumizana mkuu, tunapokoseana tunawekana sawa
noop, ukiona umemuumiza mwenzio sio vibaya kuomba msamahaUnaogopa kulazwa juu ya mti na kitanda chako naona, si kwa kujihami...😀😀😀😀
Haya jaman wapendwa leo kuna vocha ya elf 5000 kwa yeyote atakayecomment kuhusu Demiss na hiyo comment ikavunja rekodi ya like nyingi.
Ongea chochote kuhusu Mimi hapa kadri uwezavyo na ujisikiavyo ili mradi kusiwe na matusii hiii ni offer ya kufungia mwakaa .
Location: MUJOS PUB CHANIKA.