Offer : Comment chochote kuhusu Demiss ukipata like nyingi unapata zawadi!

Japo wewe ni mmojawapo wa mwanamke unayenivutia kwa comment zako za ukweli na uwazi kama kitu kimekutokea huna haja ya kuficha fichaa uko real napenda sanaaa yaani unajiachia vilee utakavyo
Hongera kwa kuwa jasiri
Nadhani unatuongoza kwa ujasiri wanawake wa jf
 
Japo wewe ni mmojawapo wa mwanamke unayenivutia kwa comment zako za ukweli na uwazi kama kitu kimekutokea huna haja ya kuficha fichaa uko real napenda sanaaa yaani unajiachia vilee utakavyo

Asante mamii
 
Love is like a puzzle. When you're in love, all the pieces fit but when your heart gets broken, it takes a while to get everything back together.

Miss u 2 my x husband.
Kumbe na ndoa ilikua tayar[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom