Hongera kwa kuwa jasiri
Nadhani unatuongoza kwa ujasiri wanawake wa jf
Hahaha,ndio mwenye nyingi!kweli nimeamini Mshana yupo vizur!Hebu ngoja nikachek comment[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
OooohDada sponsor alinitengenezea assets niko vizur tu mwenziooo
UsijaliAsanteee sana hakika ni mapito
Tuu
Japo wewe ni mmojawapo wa mwanamke unayenivutia kwa comment zako za ukweli na uwazi kama kitu kimekutokea huna haja ya kuficha fichaa uko real napenda sanaaa yaani unajiachia vilee utakavyo
haina haja hd udanganye watu ,nitafute mkesha wa mwka mpya ,mbweni oceanic resort nipime uwezo wako wa kutia hasaraSijawah kudanganyaa
Kumbe na ndoa ilikua tayar[emoji16][emoji16]Love is like a puzzle. When you're in love, all the pieces fit but when your heart gets broken, it takes a while to get everything back together.
Miss u 2 my x husband.