Computer4Sale Offer ya January: Pata computer kwa bei poa

Funguka full specs mkuu, especially RAM na Processor bila kusahau hiyo 7i ni gen ipi.
corei7 gen ya 10 5.10ghz kuhusu hdd na ram unachagua unataka ukubwa gani pia kuna corei3 6gen 3.30 ghz 0714689280 mana siwezi elezea computer zote apa boss zipo nyingi afu istoshe sisi kila computer unayotaka tunayo yaan ukiitaji ndan ya masaa mawili inakua ipo dsm coz tupo hasa zanzbari ndo kila kitu nichek 0714689280 for more info
 
Nitakupigia mkuu lakini nipe hint kidogo! Nahitaji Corei7, gen 7 (sio mbaya ukinitajia naprice ya hiyo gen 10, labda naweza kufumba macho au nikajitafuta zaidi). Aidha, RAM iwe 16 (kama zipo za 32, pia nitajie bei yake). Processor from 3, na graphic card iwe 1GB (itakuwa poa kama utanitajia na bei ya 2GB).

Halafu nilisahau kuweka wazi ingawaje kwenye post nyingine niliweka! Ninachohitaji sio laptop bali Desktop. Screen size 21, preferred 4K (kama zipo za 27'', plz let me know the price).
 
corei7 gen ya 8 na pro speed ni kuanzia 3.70ghz ambayo ina 4/6ram na hdd 1tb ni 650000 na nch 20/21 monitor ukitaka hdd za 500gb nauza 35000 nk na monitor nch 17 elfu 50000 in short nauza jumla mpka rejaleja boss ni call 0714689280(kuusu card na vingine)
 
Hiyo RAM ndogo sana, nilikuwa nataka ya kuanzia 16GB.
 
Nataka desktop moja kuanzia core i5 8th generation na laptop moja core i7 8th generation. Ni pm uwe na bei nzuri sana.
Unaelewa kuwa laptop za core i7-8500Y zina only 2 cores?Ningekuwa mimi ndiyo muuzaji ningekupigia hapohapo!😜😜😜
 
tunaweka ram yoyote unayotaka mana ram za ddr3 za 4gb tunauza elfu 20 so we sema unataka machine ya aina gani unapata
Now, you're talking! Nimechukua namba, tutawasiliana muda muafaka kwa sababu kwa sasa nipo mkoa lakini natarajia kuja Dar mwisho wa mwezi.
 
Back
Top Bottom