sanga kariakoo
Member
- Dec 31, 2020
- 91
- 134
corei7 gen ya 10 5.10ghz kuhusu hdd na ram unachagua unataka ukubwa gani pia kuna corei3 6gen 3.30 ghz 0714689280 mana siwezi elezea computer zote apa boss zipo nyingi afu istoshe sisi kila computer unayotaka tunayo yaan ukiitaji ndan ya masaa mawili inakua ipo dsm coz tupo hasa zanzbari ndo kila kitu nichek 0714689280 for more infoFunguka full specs mkuu, especially RAM na Processor bila kusahau hiyo 7i ni gen ipi.